Okya
Kuoa au kuolewa sio la lazima, ila kwa maadili yetu ya ki africa marriage ni jambo la heshima
kwa hiyo we unafikiri ndoa ipo kwa ajili ya heshima tu? No more eeeh manka!
in africa hicho kikombe hakikwepeki sijui kwa nini,agemates wangu karibia wote wameolewa na wana watoto....wakati najiona bado kusettle down.
maadili ya kiafrika so what? Why man and woman in this world? Au ndio unafanya analysis ya kiglobalization.
bado mpaka lini? When its a right time 4u? Dou you know when and at what time voluntary actions/decitions takes place specificaly?
Hivi hiyo ndio tafsiri ya nilichoandika?
Kweli akili yangu imepungua akili.
nduu/mamaya
I cant say i fully understand what is being asked of me, ila if u can labda ungenifafanulia zaidi:A S shade:??
he we mpaka hapo nitakapojisikia,halafu ongea kiswahili....:A S angry:
soma vzr hiyo stanza yako ya kwanza uliyoanza nayo,hiyo ya pili ni matokeo ya ndoa na matokeo huweza kuwa positive or negative kulingana na chaguo plus other factors.
mtazamo wangu....kuoa/kuolewa si lazima.......kuoa/kuolewa hakujengi heshima, heshima hujengwa na malezi bora, heshima hujengwa na kujithamini na kujitambua, heshima hujengwa na kujiheshimu, heshima hujengwa na kuheshimu wanaokuzunguka bila kujali umri, cheo, wala fedha.
Heshima hujengwa na tabia yako, heshima hujengwa na mwenendo wako.......
Sioni faida kama umeo then unamtukana mkeo mpaka jirani nyumba ya tatu anakusikia....au unatembea na kila mwanamke hapo utegemee kuheshimiwa? Au umeoa unalewa mpaka unavua nguo unadhani ndoa italinda heshima yako kwa halihiyo??????
Bado sioni hiyo tafsiri ila nijibu tu HAPANA.
Mie siku nikiamua kuolewa haitokua kwaajili ya heshima, wala hiyo heshima siihitaji achilia mbali kuitaka.
najua manka unahitaji kitochi ngera
Nimetoka kupata juzi tu. . .hapa bado nachezea hangover maana haikua mchezo.
nimeimisi sana hiyo kitu,huku kwa vanyalukolo ni ulaaazi tu,waiii!