Ansah Miles
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 392
- 175
Ni ni timing nzuri sana kwa Lowassa kwani WaTz wengi walikuwa bado wanaangalia kinachoendelea uwanja wa Taifa then kipindi maalum...good timing
wewe ulitaka asiwe tbc awe wapi sasa,acha ushabiki wa chuki za kishenzi wewe,EL si mtanzania kama wewe hivyo anahaki ya kufanya chochote kile anachoweza..kila kitu mnahusisha na mambo ya kisiasa..pool up ua sox kaka...mmezidi kumwandama mzee wa watu...kwani hata akiwa anafanya mikakati ya kugombea urais ni kosa? fanya ww basi ugombee urais...damn..u cant be a great thinker mwanalugaliJamani angalieni TBC jinsi wanavyo mpiga tafu huyu EDO kwenye kampeni za kugombea urais wa tanzania
Hakustaafu ila alifukuzwa na bunge kwa kashfa ya wizi wa mali ya umma!!!why Lowassa and not waliochangia kujenga historia ya nchi yetu hadi tukafika hapa leo ??? where are the veterans and old guards of our nation hadi wampe promo huyu kiongozi aliyestahafu?
yes,Hakustaafu ila alifukuzwa na bunge kwa kashfa ya wizi wa mali ya umma!!!
wewe ulitaka asiwe tbc awe wapi sasa,acha ushabiki wa chuki za kishenzi wewe,EL si mtanzania kama wewe hivyo anahaki ya kufanya chochote kile anachoweza..kila kitu mnahusisha na mambo ya kisiasa..pool up ua sox kaka...mmezidi kumwandama mzee wa watu...kwani hata akiwa anafanya mikakati ya kugombea urais ni kosa? fanya ww basi ugombee urais...damn..u cant be a great thinker mwanalugali
jamani angalieni tbc jinsi wanavyo mpiga tafu huyu edo kwenye kampeni za kugombea urais wa tanzania
we unaumri gani ,tulishakuwa na kila kitu viwanda vikubwa tanga moro dar arusha moshi, tren, ndege huyo huyo lowasa alishiriki kiviuwa wanajiuzia halafu wana viuza kama chuma chakavuAchana na habari zote za ovyoovyo,Lowassa leo amefunguka kuhusu namna ambavyo serikali inaweza kutengeneza ajira kwa vijana akitolea mfano wa Misri walivyokuwa wanafanya kipindi akiwa Waziri wa Maji.Amesema serikali inaweza kukopa na kuanzisha viwanda ambavyo vitatoa ajira kwa vijana wengi au vijana wakakopeshwa zana za kilimo na pesa kwa ajili ya kujiajiri ki ukweli amenivutia sana kwa sehemu hiyo.
Wacha aongee Lowasa, maana Pinda aliyechukua usukani wa uwaziri mkuu, ni rubber stamp tu na yupoyupo tu....sijui hata anafanya nini pale? Bila shaka ameshindwa kumshauri JK, ni vizuri akubali yaishe tupate waziri Mkuu mwingine.Hakustaafu ila alifukuzwa na bunge kwa kashfa ya wizi wa mali ya umma!!!