Mambo 10 aliyofanyiwa Hayati Lowassa baada ya kuhamia CHADEMA

curie

JF-Expert Member
Oct 25, 2020
664
1,489
MAPIGO 10 YA CCM KWA MZEE LOWASSA.

Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA.

Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA.

Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno matamu ya CCM wanapokuwa mbele ya kamera huwa wanaupande wa pili wa sura zao na roho zao.

Lowassa alishawahi kuziona sura halisi za CCM, tena waliokuwa Viongozi wenzie, marafiki,'family friends' na aliokuwa anakula na kuywa nao kila siku. Baada ya kugusa maslahi yao kwa kuihama CCM

Walimpiga mapigo haya

1. Pigo la kwanza,ilikuwa marafiki aliokuwa nao katika kambi yake ya CCM (safari ya matumaini) na waliomshawishi 'amwage mboga' kwa kuihama CCM.Baada ya Lowassa kutii ushauri wao.marafiki hao hawakuhama,wakabakia CCM.

2. Baada ya uchaguzi 2015,Serikali ya CCM ikamuondoa mtoto wa kike wa Lowassa ( Pamela ) aliyekuwa anafanya kazi BOT Makao makuu Dar es Salaam na kumpeleka BoT tawi la Arusha tena bila kupangiwa kazi yoyote.

3. Apiri 16,2016 Mkwe wa Edward Ngoyai Lowassa (Sioi Sumari) akafunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha $6M akakaa gerezani miaka

4. Haikutosha,Shamba la kufugia na kukuzia mifugo la Mzee Edward Ngoyai Lowassa lililopo Mkoani Tanga,Handeni likataka kuporwa na serikali lote,Waziri mmoja kutoka Baraza la mawaziri la Magufuli akashauri walimege nusu tu,badala ya kupora lote. Wakalichukua nusu.

4. Shamba lingine la Mzee Lowassa lilipo mkoani Tanga ,Loshoto likiwa linasafishwa na Bulldozer, Serikali wakazuia zoezi lisiendelee. wakampelekea Mzee Lowassa bill ya billion 10,kama malimbilizo ya kodi ya ardhi ya shamba lile.Mzee akalitema,Serikali wakalibeba.

5. Serikali ya CCM,pia wakamfuata Fred Lowassa (mtoto wa Kiume wa kwanza wa Mzee Lowassa) wakamlima kodi kupitia TRA kiasi cha zaidi ya Tsh billioni 5,katika biashara zake,wakazifunga akaunti zake binafsi na za biashara mpaka atakapolipa kodi zote.

6. Mzee Lowassa alikuwa anatibiwa na kuhudumiwa na Serikalini,kama Waziri Mkuu Mstaafu,ambapo alikuwa anaenda katika klinic ya matibabu nje ya nchi kila mwaka.

Lakini baada ya kuhamia CHADEMA wakafuta huduma hiyo Mzee Lowassa akawa anajihudumia mwenyewe kwa fedha zake ktk matibabu.

7. Mzee Lowassa alikuwa anaishi Dodoma maeneo ya Area D,katika nyumba za Serikali (TBA) Kama mpangaji na Mtanzania mwingine

(Ile nyumba ambayo alipokuwa CCM watu mbalimbali walikuwa wanaenda kumuomba agombee urais)

aliporwa ile nyumba na serikali ya CCM,kwa sasa nyumba ile amepewa Rais Hussein Mwinyi anaitumia kama makazi yake anapokuwa Dodoma.

8. Pigo jingine,mlinzi wa muda mrefu wa Mzee Lowassa Bw. Tendewa ambaye alikuwa siyo Mlmlinzi tu bali mtu wa karibu kwa miaka mingi sana,
alisimamishwa kazi punde baada ya Mzee Lowassa kuhamia CHADEMA tu akiwa amebakisha miezi 6 kustaafu utumishi wake,na akapoteza mafao yake yote.

9. Wafanyabiashara na marafiki wa Mzee Lowassa Dar na Arusha wakafilisiwa,wengine kutishwa mashitaka au kufuatiliwa na TISS kama bado wanamawasiliano na Lowassa (wakataka afe njaa)

10. MONDULI-Siku moja Serikali ilienda Mkoani Arusha,Monduli katika shamba la Mwekezaji (Mzungu) wakiamini ni Shamba la Mzee Lowassa wakalitaifisha na kisha wakaligawa kwa Wanakijiji kumkomoa Mzee Lowassa.
lakini halikuwa shamba lake bali la Mwekezaji wa miaka mingi

Wakahakikisha pale Monduli wanaondoa heshima ya Mzee Lowassa kwa kuweka DC atakayekuwa anamdhalilisha Mzee Lowassa

wakahamisha Mbunge na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli kutoka CHADEMA kuhamia CCM ilikufuta kabisa legacy ya Mzee Lowassa.

Mwisho
Mapigo yote haya hayakumfanya Mzee Lowassa Kupiga magoti kwa serikali ya CCM au kurudi CCM.

Kwa muda wa miaka 4,kuanzia 28-07-2015 alipohamia CHADEMA hadi tarehe 28 -02- 2019 alikuwa ni mtu mwenye msimamo mkali sana usiotetereka.

01/03/2019 Lowassa alirudi CCM ili kumnusuru rafiki yake kipenzi ROSTAM AZIZI ambaye alipigwa mapigo mawili tu na serikali ya CCM

R.I.P mzee
 
MAPIGO 10 YA CCM KWA MZEE LOWASSA.

Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA.

Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA.

Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno matamu ya CCM wanapokuwa mbele ya kamera huwa wanaupande wa pili wa sura zao na roho zao.

Lowassa alishawahi kuziona sura halisi za CCM, tena waliokuwa Viongozi wenzie, marafiki,'family friends' na aliokuwa anakula na kuywa nao kila siku. Baada ya kugusa maslahi yao kwa kuihama CCM

Walimpiga mapigo haya

1. Pigo la kwanza,ilikuwa marafiki aliokuwa nao katika kambi yake ya CCM (safari ya matumaini) na waliomshawishi 'amwage mboga' kwa kuihama CCM.Baada ya Lowassa kutii ushauri wao.marafiki hao hawakuhama,wakabakia CCM.

2. Baada ya uchaguzi 2015,Serikali ya CCM ikamuondoa mtoto wa kike wa Lowassa ( Pamela ) aliyekuwa anafanya kazi BOT Makao makuu Dar es Salaam na kumpeleka BoT tawi la Arusha tena bila kupangiwa kazi yoyote.

3.Apiri 16,2016 Mkwe wa Edward Ngoyai Lowassa (Sioi Sumari) akafunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha $6M akakaa gerezani miaka

4.Haikutosha,Shamba la kufugia na kukuzia mifugo la Mzee Edward Ngoyai Lowassa lililopo Mkoani Tanga,Handeni likataka kuporwa na serikali lote,Waziri mmoja kutoka Baraza la mawaziri la Magufuli akashauri walimege nusu tu,badala ya kupora lote. Wakalichukua nusu.

4. Shamba lingine la Mzee Lowassa lilipo mkoani Tanga ,Loshoto likiwa linasafishwa na Bulldozer, Serikali wakazuia zoezi lisiendelee. wakampelekea Mzee Lowassa bill ya billion 10,kama malimbilizo ya kodi ya ardhi ya shamba lile.Mzee akalitema,Serikali wakalibeba.

5.Serikali ya CCM,pia wakamfuata Fred Lowassa (mtoto wa Kiume wa kwanza wa Mzee Lowassa) wakamlima kodi kupitia TRA kiasi cha zaidi ya Tsh billioni 5,katika biashara zake,wakazifunga akaunti zake binafsi na za biashara mpaka atakapolipa kodi zote.

6.Mzee Lowassa alikuwa anatibiwa na kuhudumiwa na Serikalini,kama Waziri Mkuu Mstaafu,ambapo alikuwa anaenda katika klinic ya matibabu nje ya nchi kila mwaka.

Lakini baada ya kuhamia CHADEMA wakafuta huduma hiyo Mzee Lowassa akawa anajihudumia mwenyewe kwa fedha zake ktk matibabu.

7. Mzee Lowassa alikuwa anaishi Dodoma maeneo ya Area D,katika nyumba za Serikali (TBA) Kama mpangaji na Mtanzania mwingine

(Ile nyumba ambayo alipokuwa CCM watu mbalimbali walikuwa wanaenda kumuomba agombee urais)

aliporwa ile nyumba na serikali ya CCM,kwa sasa nyumba ile amepewa Rais Hussein Mwinyi anaitumia kama makazi yake anapokuwa Dodoma.

8.Pigo jingine,mlinzi wa muda mrefu wa Mzee Lowassa Bw. Tendewa ambaye alikuwa siyo Mlmlinzi tu bali mtu wa karibu kwa miaka mingi sana,
alisimamishwa kazi punde baada ya Mzee Lowassa kuhamia CHADEMA tu akiwa amebakisha miezi 6 kustaafu utumishi wake,na akapoteza mafao yake yote.

9.Wafanyabiashara na marafiki wa Mzee Lowassa Dar na Arusha wakafilisiwa,wengine kutishwa mashitaka au kufuatiliwa na TISS kama bado wanamawasiliano na Lowassa (wakataka afe njaa)

10.MONDULI-Siku moja Serikali ilienda Mkoani Arusha,Monduli katika shamba la Mwekezaji (Mzungu) wakiamini ni Shamba la Mzee Lowassa wakalitaifisha na kisha wakaligawa kwa Wanakijiji kumkomoa Mzee Lowassa.
lakini halikuwa shamba lake bali la Mwekezaji wa miaka mingi

Wakahakikisha pale Monduli wanaondoa heshima ya Mzee Lowassa kwa kuweka DC atakayekuwa anamdhalilisha Mzee Lowassa
wakahamisha Mbunge na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli kutoka CHADEMA kuhamia CCM ilikufuta kabisa legacy ya Mzee Lowassa.

Mwisho
Mapigo yote haya hayakumfanya Mzee Lowassa Kupiga magoti kwa serikali ya CCM au kurudi CCM.

kwa muda wa miaka 4,kuanzia 28-07-2015 alipohamia CHADEMA hadi tarehe 28 -02- 2019 alikuwa ni mtu mwenye msimamo mkali sana usiotetereka.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Mzee alitukanwa sana hili naona umelisahau.
 
Malizia u-mwakyembe au u-mwandosya ila aliwahi sema ukikiuka kiapo
 
Siyo watu wote wanaweza kua maRais hapa nchini, na pia kumpamba mtu pasi kujua undani wa uzuri na ubaya wake nalo ni kosa, ni vyema kukaa kimya tu

Angalia ulicho sema #6&7 hata kama ni wewe uko unafanya kazi ofisi fulani, shirika au kampuni maadamu upo kazini, na Kisha ukaondoka ktk kazi hiyo, shirika hilo au kampuni hiyo, ni kweli utaendelea kutumia bima yao au utakaa ktk nyumba yao? Acha kuaminisha watu mabaya
 
ndivyo siasa ilivyo,
mnaweza amua jambo fulani pamoja kama mrengo, but baadae ukaketi chini kutafakari jambo hilo hilo pekeyako mwenyewe, ukaona halina maana bali madhara zaidi kwako faida kwake ukaachana nalo 🐒

katika siasa hiyo hutokea sana...
 
MUNGU ampe pumziko la Milele na amsamehe LIWASSA DHAMBI ZAKE ZOTE NA AMCHOME KWA MOTO ALIYERATIBU MATESO YOTE HAYO KWA LOWASSA KWANI YUPO HUKO KUZIMU
 
Kama MwanaCcm Nguli aliejijenga na alietumikia chama na serikali muda mrefu kwa nafasi kubwa kubwa anafanyiwa hivo

vip kwa hawa makada wadogo wadogo walioibuka juzi juzi kwa kelele nyingi wasio na mbele wala nyuma akina makonda,polepole na wengineo

Akili kumkichwa
 
Pigo la kudhalilishwa kuwa kajinyea kwenye mkutano. Utenzi WA kujinyea ulivyomfurahisha mgombea WA CCM kwenye kampeni Mwanza
Msukuma wala Mwakyembe hakuna aliyeenda Msibani...

Ila msukuma huwa ni dustbin YA CCM kafanikisha mipango Yao..msukuma kwenye safari YA matumaini YA Mzee Lowasa alienda Na Helicopter Arusha Kwa Lowasa..Lowasa baada YA kuhama chama msukuma akatumiwa Na CCM amtukane Rafiki yake kuwa alijinyea

Ndio maana Msukuma kwenye msiba Wa Lowasa hajaenda Arusha Wala Dar kuhani Msiba

Msukuma huwa ni toilet paper YA chama .machafu Yote YA CCM yanapita Kwa Msukuma kasheku..Msukuma Ni mfereji Wa kupitishia uchafu ndani YA chama
 
Siyo watu wote wanaweza kua maRais hapa nchini, na pia kumpamba mtu pasi kujua undani wa uzuri na ubaya wake nalo ni kosa, ni vyema kukaa kimya tu

Angalia ulicho sema #6&7 hata kama ni wewe uko unafanya kazi ofisi fulani, shirika au kampuni maadamu upo kazini, na Kisha ukaondoka ktk kazi hiyo, shirika hilo au kampuni hiyo, ni kweli utaendelea kutumia bima yao au utakaa ktk nyumba yao? Acha kuaminisha watu mabaya
Unakijua cheo cha uwaziri mkuu katika JMT na viambatanisho vyake kisheria?Ungesoma na kumeza mate ingekusaidia kutafakari au kuuliza majirani.Siyo kila swali una jibu lake sahihi.
 
ndivyo siasa ilivyo,
mnaweza amua jambo fulani pamoja kama mrengo, but baadae ukaketi chini kutafakari jambo hilo hilo pekeyako mwenyewe, ukaona halina maana bali madhara zaidi kwako faida kwake ukaachana nalo 🐒

katika siasa hiyo hutokea sana...
CCM wote na wakereketwa wao ni mipuuzi isoyojali utu.Genge la uhalifu dhidi ya ubinadamu.Ni aibu kujinasibisha nayo na kutafutia ugali humo.
 
We unajua izo mali zote na ayo mashamba yote lowasa aliyapataje?
Sawa, tuchukulie aliyapata Kwa njia isiyo halali yaani ufisadi. Je, haikuonekana alizipata isivyo halali mpaka alipohamia Chadema? Hali kama hii tuliona pia kwa Sumaye alipohamia Chadema.
Kwanini hii isituelekeze kuamini kwamba viongozi wa ccm ni mafisadi, ila wanalindana? Mathalan leo Mwigulu anapata ajali ya kisiasa ccm, akahamia Chadema au mwingine yeyote - Samia, majaliwa, Hussein mwinyi nk, nini kitawatokea? Watu hawataamini macho na masikio yao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom