Kakasirika!hahahag,atakua mmasai tena UVCCM YA LOW'WASA
kawakama acha kutoka povu. Kura za watz ndo zitakazo determine.
kawakama acha kutoka povu. Kura za watz ndo zitakazo determine.
Teh teh teh teh teheeee, baambie kaka.Mnauliza masaburi ya mbwa wakati mkia mmeushika.
Lowasa kuongea TBC wala si tatizo. Kilichonishangaza mi labda na wengineo ni kasi aliyotumia kutoka uwanjani mpaka TBC! Kwani dakika tu alikuwa stadium na nguo zake zilezile!. Na mtangazaji aliyemuhoji ameonekana kama kampokelea getini ndipo wakaelekea wote ndani studio(alikuwa anamsubiria getini!?). Tutaona mengi kabla ya 2015!
Au huyu bwana amelipia airtime?
Lowassa alistahafu? Ask Membe.....he was sucked.
Acheni kelele nyie lowasa ni presidaa wenu 2015
Hata wewe umetumwa nae kwani baba wa taifa alipomkataa alikosea? Si tumekuja kumwona mwenyewe ****** alipompa uwaziri mkuu hata hajakaa fresh kapiga bingo la hatari. Kwahiyo kijana kubali kataa tetea kwa kulipwa jamaa hatufai kwasababu ni fisadi na sio mwadilifu
We mbona unamtetea sana fisadi aliyeshindikana???? Au ndiyo nyie mlio kwenye pay roll yake?? Hapo kwenye RED: Mind you english!!! Ni PULL up, not pool
Hata uwizi au ufisadi nao ni sifa. Kama sifa hizo ndizo watanzania wanazihitaji kutumia kumpata Rais, basi Lowasa atakuwa...
Achana na habari zote za ovyoovyo, Lowassa leo amefunguka kuhusu namna ambavyo serikali inaweza kutengeneza ajira kwa vijana akitolea mfano wa Misri walivyokuwa wanafanya kipindi akiwa Waziri wa Maji. Amesema serikali inaweza kukopa na kuanzisha viwanda ambavyo vitatoa ajira kwa vijana wengi au vijana wakakopeshwa zana za kilimo na pesa kwa ajili ya kujiajiri ki ukweli amenivutia sana kwa sehemu hiyo.
Lowassa alistahafu? Ask Membe.....he was sucked.
Anasisitiza kuwa ukosefu wa ajira ni bomu linalosubiri muda wake kulipuka!!!
Kwa mahesabu ya haraka haraka, EL lazima agombee urais kwa tiketi ya ccm, sioni wa kumsimamisha kwenye harakati zake hizo.
Keshajipanga, kina Nape kweli hamnazo...Hawatomweza hao labda wahame chama.
Lowassa alistahafu? Ask Membe.....he was sucked.
You are dead wrongI dont thnk if wat ur just sayin are true bcoz in Tz I believe Lowasa is among the good leader we over had b4.