<br />Jamani kesho nitawapa kinachoendelea,sikukuu ya leo imeingilia mambo ila kesho nitafatilia
<br />Ubarikiwe na bwana wangu YESU KRISTO, Akuwezeshe ulitimize kusudio lako!
<br />Jamani kesho nitawapa kinachoendelea,sikukuu ya leo imeingilia mambo ila kesho nitafatilia
Nchi hii itajengwa na wazalendo wenye moyo! Tafadhaari sana fanya kila uwezalo kutujuza kila linalojiri kuokoa pesa hizi! They are wounded Zebra in Serengeti tayari wameanza kutafuta pesa ya Kampeni Igunga!
kama huyu kasururu atashidwa kuzibitisha apate life BAN
Haya tunayataka wenyewe maana watu walileta issue ya Shimbo hapa jamvini na wengi wetu tulianza kuwashambulia eti wametoa wapi taarifa hizo!? badala ya kila mzalendo kuanza kutafuta ukweli kwa kutumia vyanzo mbalimbali tumeanza malumbano utadhani tumelogwa mpaka ile thread ikachomolewa kwa sababu tumezoea ili taarifa iwe ya halali lazima itolewe na mafisadi kupitia habari leo na tbc1 vinginevyo watu watatishwa sana na wametishika yako wapi ya Shimbo sasa? Kila mtu amefunga mdomo WACHA WACHUKUE TUMECHOKA NA MAJUNGU TULIYO NAYO NA WOGA ULIOPITILIZA.
Yule wa Trilioni 3 hahahahahahah naye?
Ndugu mleta mada! Naomba nikushauri usilete cha ushahidi wala nini hapa jamvini endelea na mambo yako maana utakuja kupoteza maisha yako bure kwa kutaka kuwaletea ushahidi hawa majaji feki waliomo humu ndani huku hawana msaada wowote wa mana zaidi ya kutaka kuonekana al maarufu tu wakao amin wacha tuamini maana hakuna jipya la ajabu kwenye serikali hii na ambao hawaamini endeleeni hivyo hivyo huku wote tukiteseka pamoja bila kujali itukadi zetu
<br />Masaburi kakutembelea??