Kuna hela ya MEREMETA inataka kupelekwa nje ya nchi kinyemela!

Hivi kuna uwezekano serikali yetu inahusika na hili kosa la kimataifa ya MONEY LAUNDERING??? Kama jibu ni ndio sasa ni nani atakayetusaidia na MAGAIDI kutokujihusisha na biashara hii haramu??

Nchi hii itajengwa na wazalendo wenye moyo! Tafadhaari sana fanya kila uwezalo kutujuza kila linalojiri kuokoa pesa hizi! They are wounded Zebra in Serengeti tayari wameanza kutafuta pesa ya Kampeni Igunga!
 
Pamoja na mashaka mliyoonesha, mimi nangoja mtoa mada alete ushahidi wa taarifa yake. Kama hii habari ni kweli basi hali inantisha sasa
 
Haya tunayataka wenyewe maana watu walileta issue ya Shimbo hapa jamvini na wengi wetu tulianza kuwashambulia eti wametoa wapi taarifa hizo!? badala ya kila mzalendo kuanza kutafuta ukweli kwa kutumia vyanzo mbalimbali tumeanza malumbano utadhani tumelogwa mpaka ile thread ikachomolewa kwa sababu tumezoea ili taarifa iwe ya halali lazima itolewe na mafisadi kupitia habari leo na tbc1 vinginevyo watu watatishwa sana na wametishika yako wapi ya Shimbo sasa? Kila mtu amefunga mdomo WACHA WACHUKUE TUMECHOKA NA MAJUNGU TULIYO NAYO NA WOGA ULIOPITILIZA.

waleta taarifa nao wamekuwa waoga sana siku hizi....mtu anasema ana data zote ila anaogopa kuziupload,kwa nini lakini?
kipindi cha uchaguzi 2010, kuna mtu alileta mada ya wale wachakachuaji wa pale mwanza na docs zikarushwa moja moja na akaweka angalizo kuwa habari zaweza kuwa kweli au siyo ila wenye akili tulijua ukweli...zikasambaa na baadaye watuhumiwa hawakuzikana docs hizo na mpaka leo watz tunajua kwa hakika kuwa mkurugenzi jiji la Mwanza alichakachua na historia hii haitafutika vizazi vyote vijavyo.

sasa kwa issue za shimbo ilikuwa ni kuzirusha tu ili zisambae kote na ziendelee kusambaa.....kama una data za wizi wa hizo USD30M rusha data hapa, unajua role yetu ni kuwakurupusha hawa wezi hatuna uwezo wa kuwashika kwa sasa...wacha tuwakurupushe wakimbie pesa zipone. Otherwise mnakumbatia docs mwishowe wanaweza kukuwinda hata wakudhuru ila ukiachia mzigo watahangaika na mzigo na kuachana na wewe na utakuwa safe....bahati yao hazipiti anga zangu..
 
Sio jambo la kushangaza kwa vyombo vya dola vya TZ a day has come anda GOD will answer our prayer ee mungu inusuru TZ yetu tulio wakimbizi ndani ya nchi yetu
 
Jamani kama una data za tuhuma hizo, tafadhali twaziomba ili tujiridhishe na hili tupate pa kusimamia. Issu hii tusiifanye kama ya Shimbo
 
Ndugu mleta mada! Naomba nikushauri usilete cha ushahidi wala nini hapa jamvini endelea na mambo yako maana utakuja kupoteza maisha yako bure kwa kutaka kuwaletea ushahidi hawa majaji feki waliomo humu ndani huku hawana msaada wowote wa mana zaidi ya kutaka kuonekana al maarufu tu wakao amin wacha tuamini maana hakuna jipya la ajabu kwenye serikali hii na ambao hawaamini endeleeni hivyo hivyo huku wote tukiteseka pamoja bila kujali itukadi zetu
 
Masaburi kakutembelea??
 
Watanzania wenzangu acheni uwoga kwani hata mungu hampendi mtu mwoga sote tujitoe mhanga kwa ajili ya taifa la wajukuu wetu,tuache kucheka na hawa tumbili kamwe hatutavuna chochote.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom