NasDaz haiwezekani wote tukawa na msimamo ''unaofanana''.Hii forum si chama cha siasa.
Mkuu apolycaripto, hata mimi nalifahamu hilo pasi na shaka yoyote kwani hata huko kwenye vyama vya siasa watu wana misimamo inayotofautiana!! Na ndio maana, hadi leo hii hamna hata dini moja miongoni mwa zile zenye vitabu ambazo zina dhehebu moja pekee! Kwamba hata kwenye mambo ya mungu watu ni full kutofautiana!