Kuna hela ya MEREMETA inataka kupelekwa nje ya nchi kinyemela!

Derimto i,aonyesha ni jinsi gani ulivyo kipofu au mlevi wa kufikiri hakuna taarifa isiyokuwa na source,ikiwa hivyo basi ni ya kutunga.Hatuwezi kuwa vampire kwa kudaka kila kinachorushwa.Wote tukiwa na akili kama zako hatutarajii kutoa njia ya kutatua kwani hakuna haki isiyo na sheria.Tambua no evidence no right to speak katika ''court''.

Hatuna njia nyingine ya kuwahukumu hawa zaidi ya sheria,hivyo tukiwa wanajanvi kila mtu anafani yake.Tambua hatuko kusoma tu hapa na kupata cha kuchagiza kwenye vijiwe vya kahawa ''hapana'',wengine tunayafanyia kazi yanayojitokeza kulingana na uzito wake.

Nakushauri jaribu kubadilika na kuwamtekelezaji zaidi ya msomaji tu kwani uzalendo wako haujengwi hivyo ila ni ishara ya grapevines.Huwezi kuongelea habari ambayo inahitaji maamuzi huku huna taarifa za kutosha,lazima tu itaishia kapuni ama mtaani tu kama ''vapour gossip''.Pia tujenge mazingira ya kuisaidia jamii kwa kwenda mbali zaidi(huu ndio uzalendo) si tu kuishia kusoma na kulalama hapa.

Otherwise sipingi ''tetesi''ila nachukia tetesi zinazokuja na kuishia hewani bila mtoa hoja kutuambia kwa nini zimepotea kama ilivyotokea kwa ''Shimbo''.Jamani trillion tatu ni fedha nyingi,haiwezekani habari yake kupotea kienyeji hivi hivi tu.Je!tukisema hawa waleta tetesi huwa wanaongwa kuzipotezesha bila shaka hizi nazo zitakuwa ''tetesi'' kutokana na kutokuwa na ushahidi.Tuwe makini si vyote ving'aavyo ni dhahabu.

Nadhani bado unashindwa kutofautisha habari kamili na chanzo chake, tetesi na mahakama na humu ndani tunapeana taarifa haijalishi kuwa ni tetesi au ukweli na katika hizo tetsi kwa nini asemwe Shimbo yeye ni nani? Kwa nini wasisemwe wengine? Wenye madaraka na biashara kubwa wasitajwe atajwe yeye ni nani? Jamani hebu turuhusu akili zetu zifanye kazi na tuache kuwa wajuaji kupitiliza kiasi ambacho TUNAWEZA KUWAKATISHA TAMAA WALE WANALETA TAARIFA ZA MAOVU YANAYOENDELEA KWENYE NCHI HII hata huko kwenye vijiwe vya kahawa kuna taarifa za maana tu na siyo lazima taarifa za ufisadi ziletwe kwa press conference ndipo tuamini? huu ni utumwa wa mazoea ya kudesa kama marobot hatuajiachii akili zetu kufanya kazi kuna uozo wa hali ya juu sana kwenye nchi hii na huku watu wote tunafanya vipofu tunasubiri hotuba ya mwisho wa mwezi na tbc1 ndio watakatifu wanaosema ukweli wakati wote maana habari zao zimeshathibitishwa na mafisadi na kutufanya mandondocha kwenye nchi yetu na tukisema tunaambiwa ni msimamo wa kisiasa ndiyo unatufanya teseme hivyo na hatuna source!!!?

Wana jamii forums,kuna dola zaidi ya milioni 30 inazungushwa huku na kule,kwa sasa iko NMB na wakubwa wa bank hii wanatia mgoma wa kuipeleka kwenye account ya nje ya nchi.last week waliitwa mahaka kuu saa kumi na moja na kuamriwa wazipeleke hizo hela haraka sana kwenye account waliopewa.mahakama yetu kweli imeoza na iko bega kwa bega na mafisadi kuiangamiza nchi.

Kuna habari ambazo zimepatikana kuwa NMB hawako tayari kufanya uozo huu na hela iko njiani kupelekwa CRDB ili ziweze kupelekwa nje ya nchi.

Orders kutoka BOT,ikulu na mahakama kuu kuwaamuru wakubwa hawa wa bank zipo na tunasubiri tu mda muafaka tuziweke hadharani

Tutazidi kujuzana issue inavyoendelea

This is too fishy! Nilihangaika sana kumtumia mdogo wangu ada ya USD 7000 kutoka Tanzania kwenda US, kuna vielelezo kibao nilitakiwa kuambatanisha ikiwa ni pamoja na Acc na Adress ya chuo, na form mlima za kujaza. Hii ni habari kama aliyoweka Invisible na kutetewa na Maxence...Nahisi kuna uongo hapa pia....Nguli Jabali niko na wewe!

NB

Magamba ni wezi sana wa cake ya taifa ila wanatumia akili kidogo....Mahakama gani hiyo imamuru malipo? Acheni kamba zenu bana...

Haya mambo unayoandika kama yangekuwa ndivyo ilivyo basi mapesa ya watanzania yasingeporwa. Jiulize tu swali dogo je pesa zinazotumwa kwenye balozi zinapitia scrtunity hizo zote????? Kwenye international finacial transation kuna loophole kubwa tu na kuna watu wasio waaminifu wanajua jisni ya kucheza nayo au wanatumia privilage walaizonazo kucheat system.

Mfano

tuajua wote kusafirisha madawa ya kulevlya ilivyo kazi na risk kubwa kwa mtu wa kawaida lakini once mtu mwenye diplomatic passport akimua ku abuse passport yake yeye risk zake za kukamwatwa zinakwua ni ndogo.....

Hivyo ndivyo ilivyo. complication unazoongelea wewe ni za masanja kutuma pesa lakini "system" au privillged ppl witin the system individually wa kiamua kuwa involved complication zinapungua.

Nashukuru kwa ufahamu mkuu kuhusu fedha za balozi hilo nilikuwa sifahamu ila nitaangalia pia namna wanavyofanya. Lakini angalia maswali yangu basi uyajibu?
Kuhusu hizo fedha huwezi ku debit a/c ya mtu bila ruhusa yake je Meremeta ni akina nani? Je wametoa ruhusa? Kama ziko kwenye suspense account nani karuhusu kuguswa? Kwa sababu mahakama haiwezi kuinglia unless kuna mlalamikaji.

Nguli na Rev Masanilo ni ukweli taratibu zote ki Benki uhamishaji wa hela zinajulikana kuna sheria ambazo ni local yaani za BoT wenyewe na kuna sheria za kimataifa hasa baada ya matukio ya ugaidi lakini sidhani kama sheria hizo zinawazuia watu kumega keki zao kwa raha mustarehe na ndiyo maana hata fedha za EPA watu wamejichotea ki ulaini halafu cc tunabishana kwa kawaida anayefanya transactions lazima kuna authoriser bado sijaona tatizo la kuhamisha fedha kama pande zote zinakubalina sasa kwa sababu cc ni wajuaji tuendelee kubishana huku watu wakiponda maisha na mihela yetu

This is too fishy! Nilihangaika sana kumtumia mdogo wangu ada ya USD 7000 kutoka Tanzania kwenda US, kuna vielelezo kibao nilitakiwa kuambatanisha ikiwa ni pamoja na Acc na Adress ya chuo, na form mlima za kujaza. Hii ni habari kama aliyoweka Invisible na kutetewa na Maxence...Nahisi kuna uongo hapa pia....Nguli Jabali niko na wewe!

NB

Magamba ni wezi sana wa cake ya taifa ila wanatumia akili kidogo....Mahakama gani hiyo imamuru malipo? Acheni kamba zenu bana...

Mkuu Rev Masa, thanks for noting this, sitetei ufisadi ila ilivyoweka hii mada nawasiwasi sana isije ikawa ni tetesi squared, kwanza hata transfer ya hizo fedha ti CRDB bank sio kitu kirahisi kama watu wanavyosema.

Nashukuru kwa ufahamu mkuu kuhusu fedha za balozi hilo nilikuwa sifahamu ila nitaangalia pia namna wanavyofanya. Lakini angalia maswali yangu basi uyajibu?

Kuhusu hizo fedha huwezi ku debit a/c ya mtu bila ruhusa yake je Meremeta ni akina nani? Je wametoa ruhusa? Kama ziko kwenye suspense account nani karuhusu kuguswa? Kwa sababu mahakama haiwezi kuinglia unless kuna mlalamikaji.

Nguli nadhani nchi hii huielewi vizuri,sasa kwa kukusaidi kaulize NMB head wao wa treasury na md wao waliitwa mahakama kuu kufanya nini na ilikua ni saa kumi na moja jioni kwa taarifa yako.

Tutaliangamiza taifa hili kama tuko wagumu kuelewa jinsi mtandao wa kifisadi unavyofanya kazi

Nguli nadhani nchi hii huielewi vizuri,sasa kwa kukusaidi kaulize NMB head wao wa treasury na md wao waliitwa mahakama kuu kufanya nini na ilikua ni saa kumi na moja jioni kwa taarifa yako. Tutaliangamiza taifa hili kama tuko wagumu kuelewa jinsi mtandao wa kifisadi unavyofanya kazi

Haya ni Mazingaobwe ya How can poor Rev Masa go and seek clarification from the Head of Treasury -NMB ?ama MD kweli ndugu usilete utani!!!! Hizi ni mbinu za kitoto kufanya watu waamini hii scam. Naomba hii ibakie tetesi, wewe uliyeweka thread njoo basi hata na evidence, Kusema waliitwa mahakama kuu, nitakuuliza na nani? Kibaya zaidi una kuja na figure USD 30 Mil, wenzako wiki ilipita walikuja na ujinga wa 3 Trilions hahahahahahahaha, JF wajinga wanaongezeka kila siku sijui ndiye nyie TISS! I can not get this rubbish even for free na kumbuka stupidity has no rewards.....Mkubwa huu ni uwongo otherwise kusanya data zaidi njoo nazo. Mwishowe utashauri tukamuulize Governor wa BoT Prof Ndulu....Sorry Im a bit hash.....huwa sikubaliani na uwongo mbichi

Account number...NIL

Account owners...NIL

Sort Code....NIL

Recipient's details....NADA

another day another conspiracy theory from JF

Account number...NIL

Account owners...NIL

Sort Code....NIL

Recipient's details....NADA

another day another conspiracy theory from JF

Utaambiwa kaulize

• Mahakama Kuu
• MD wa NMB
• Head wa Treasury -NMB
• MD wa CRDB
• Head wa Treasury -CRDB
• Prof Ndulu - BoT
And the list goes on and on -----Hahahahahaah JF imekwenda na maji......kama hii ni trend.....MOD wekeni hii kitu kwenye jokes ama fungeni thread

Nguli nadhani nchi hii huielewi vizuri,sasa kwa kukusaidi kaulize NMB head wao wa treasury na md wao waliitwa mahakama kuu kufanya nini na ilikua ni saa kumi na moja jioni kwa taarifa yako.

Tutaliangamiza taifa hili kama tuko wagumu kuelewa jinsi mtandao wa kifisadi unavyofanya kazi

Mkuu thanks! Ila mm nikamuulize MD nitaanzia wapi? Sikatai kama waliitwa labda wali discuss issue nyingine sio huo wizi. Kama hii TETESI yako itakuwa kweli naomba BAN ya mwezi mzima. Please mode note this request.

Kama hii Scam $ 30 Mil na ile ya Trilion 3 zina ukweli nifutiwe ID ya JF ama Nipewe Ban ya maisha na hata ikiwezekana niuwawe

This is too fishy! Nilihangaika sana kumtumia mdogo wangu ada ya USD 7000 kutoka Tanzania kwenda US, kuna vielelezo kibao nilitakiwa kuambatanisha ikiwa ni pamoja na Acc na Adress ya chuo, na form mlima za kujaza. Hii ni habari kama aliyoweka Invisible na kutetewa na Maxence...Nahisi kuna uongo hapa pia....Nguli Jabali niko na wewe!

NB

Magamba ni wezi sana wa cake ya taifa ila wanatumia akili kidogo....Mahakama gani hiyo imamuru malipo? Acheni kamba zenu bana...

Unamaana hi habari inafanana na ile ya kuzimia kwa Lut. General Shimbo baada ya kukutwa na matriioni SA? Kwani ile habari ilikuwa ya uongo?

People you hear anything you work on it,you may comeup with evidence which might be useful instead demanding mtoa hoja aje na ushaidi,wakati mwingine watu tunatoa hoja skeleton tukitegemea members watajaza nyama.

Unamaana hi habari inafanana na ile ya kuzimia kwa Lut. General Shimbo baada ya kukutwa na matriioni SA? Kwani ile habari ilikuwa ya uongo?

Ule ni uwongo Mtakatifu kutoka kwa MODs, aliingizwa chaka ingawa naye aliendelea kusema uwongo eti ana screen shot la computer zikiwa ninaonyesha malipo hahahahahahahah usimeze kila kitu JF! Zingine ni sumu always kuwa na maziwa ya ku-neutralize

Nilijua invizibo hadanganyi....hahahahaha

Wana jamii forums,kuna dola zaidi ya milioni 30 inazungushwa huku na kule,kwa sasa iko NMB na wakubwa wa bank hii wanatia mgoma wa kuipeleka kwenye account ya nje ya nchi.last week waliitwa mahaka kuu saa kumi na moja na kuamriwa wazipeleke hizo hela haraka sana kwenye account waliopewa.mahakama yetu kweli imeoza na iko bega kwa bega na mafisadi kuiangamiza nchi.

Kuna habari ambazo zimepatikana kuwa NMB hawako tayari kufanya uozo huu na hela iko njiani kupelekwa CRDB ili ziweze kupelekwa nje ya nchi.
Orders kutoka BOT,ikulu na mahakama kuu kuwaamuru wakubwa hawa wa bank zipo na tunasubiri tu mda muafaka tuziweke hadharani

Tutazidi kujuzana issue inavyoendelea

Mwishowe sote tutakufa na zenyewe zitabaki kuwanufaisha wazungu. hongera ccm kujenga kwa jirani sie tunakufa

Haya tunayataka wenyewe maana watu walileta issue ya Shimbo hapa jamvini na wengi wetu tulianza kuwashambulia eti wametoa wapi taarifa hizo!? badala ya kila mzalendo kuanza kutafuta ukweli kwa kutumia vyanzo mbalimbali tumeanza malumbano utadhani tumelogwa mpaka ile thread ikachomolewa kwa sababu tumezoea ili taarifa iwe ya halali lazima itolewe na mafisadi kupitia habari leo na tbc1 vinginevyo watu watatishwa sana na wametishika yako wapi ya Shimbo sasa? Kila mtu amefunga mdomo WACHA WACHUKUE TUMECHOKA NA MAJUNGU TULIYO NAYO NA WOGA ULIOPITILIZA.
Mkuu hapa umeongea ukweli mtupu maana kina vijigamba vidogo vilianza kuleta maneno oooh uongo huo sijui nini...watanzania tubadilike tutakuja ulizwa na watoto wetu hivi nyie baba zetu enzui za ujana wenu mlipigania kweli mali ya watanzania? jamani hii tamthlia ya SHIMBO isiishe hivhivi sasa hivi labda wanahaha kuficha ukweli...Mungu tunaomba uendelee kuwavua nguo hawa mafisadi tena wapate ukichaa ili waweze kutuelezea vizuri....

Rev Fr. Masanilo nashukuru sasa akili yako imekurudia,maake nakumbuka waliwahi kukulisha hapa ''tango mwitu'' kuwa Brigedia Balele Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga amefariki na wewe ukasupport kumbe ilikuwa ''uzushi wa mwaka''.

Ikiwa MODs wanashiriki kutulisha ''sumu'' hii si hatari sasa.Ama ndio yanatimizwa maandiko kuwa kila kitu kina mwanzo na mwisho!,humu kumechafuka kwani kila anaekosa cha kupost anajaribu ''ubunufu''.Jamani kubuni sawa lakini mengine si ya kubuni hata kidogo.

Rev Masanilo hili la wewe kuuwawa siliungi mkono kama nilivyompinga Zombe.Vuta subira kwani watatuelewa humu kuwa kuna mambo gani yanatakiwa yaambatane na ushahidi humu na yapi yanaweza kusonga tu bila details.

Naongea hivi kwa sababu kuna issue nyingi nimeziuza huko nje kwa wasio wana JF na baadae zimekuwa zikinirudia kwa kutokuwa za kweli.Hivi sasa heshima yangu imeshuka sana kutokana na ''upupu'' huu umu ndani.

Back
Top Bottom