Kipima joto ITV LIVE: Mada mgao wa umeme mpaka lini?

Huyu mama wamemchomoa wapi mbona hana uwezo wa kujenga hoja utadhani magamba
 
Kumbe tatizo la umeme ni kukosekana kwa uthubutu wa uwekezaji wa viongozi wetu.


According to Mkinga, vyanzo vyetu vya umeme ni vingi mno kuliko hata nchi zingne za Afrika Mashariki, lkn watawala wetu ama kwa kujua au kutokujua hawataki kuleta umeme!
 
huyu mama simba anaaza kuboa eti watanzania hatusubutu kuwekeza kwenyeumeme wa inveta unaweza tumia ata milioni3 ukijiuliaza vipato vya watanzania walio chakachuliwa sijuwi kama inawezekana

Umeme wa Inverter!!? ivi huyo mama yuko serious kweli? watu wanazungumzia kufungwa kwa viwanda yeye anazungumzia inverter ili apate taa za kuijpodoa! khaaa, Tanzania tuna wendawazimu wengi sana eenh?
 
bado wapiga sim wanamponda mama simba kwamba yupo kwamanufa ya wa chache mkinga kapigilia anasema vigogo wanao ka masaki wanamjenileta bule nyumba bule sim bule kula bule hawana huluma na watanzania
 
Huyu mama ni mke wa nani mbona ana mawazo mgando hivi eti tatizo tulishughulie wote, hajui hata mikata inasainiwa vipi huyu hafai
 
Huyu mama simba hata simuelewi anasema watanzania tusiilaumu tu serikali wananchi wawekeze wenyewe kwenye umeme,waende COSTECH wachukue tafiti za kuzalisha umeme na kuzitumia,swali ni wananchi wangapi wana access ya kupata hizo tafiti,how about wale waliopo in rural areas,capital availability,technical know how na mengineyo?

Huo ndo upeo wao wa kufikiri magamba bana, sasa kama gamba kubwa limesema yeye siyo wingu likanyeshe Mtera, wazani hivyo vigamba vidogo vitafanya nini!
 
mama simba wale wote wanao husika mikataba wawe makini hitimisho bado anasisitiza tuimvesiti kwenye maimveta
 
huyu mama simba anaaza kuboa eti watanzania hatusubutu kuwekeza kwenyeumeme wa inveta unaweza tumia ata milioni3 ukijiuliaza vipato vya watanzania walio chakachuliwa sijuwi kama inawezekana

watu wanapesa, hapo dar umeona watu wanatembelea gari za thamani gani? unajua kuna baadhi ya nchi watu binafsi wana generate umeme wa upepo au jua na gharama si kubwa sana ila kwa bongo tumezidi kufikiria majumba pia magari ya kifahari
 
Hahahahah, Hawamu ya wasaniiiii!!,
naona MAMA anaomba MADESA/NONDO kapige msuli, nadhani mkinga angempa tu hayo makaratasilabda yata msaidia sikunyinginekujibu hoja na kuchangia vizuri!
 
Back
Top Bottom