Kipima joto ITV LIVE: Mada mgao wa umeme mpaka lini?

Wawakilishi toka TANESCO na wizara ya nishati na madini hawajafika,hii ina maana gani na kwa nini wamekwepa mdahalo?
 
mkinga leo kaumbuka ameeleza jinsialivo nusulika kukikosa kipindi alikuwa kwa kinyozi kunyowa akanyolewa upande umeme ukakatika
 
swala mhimu kwasasa ni umeme kwanza kagusia balabala umeme unafaida majeneleta yakukodi kwasasa haitakiwi tununuwe ya kwetu
 
Renatus Mkinga jamani anaongeaaaaa!! khaaaaa, point tupu..ngoja nifuatilie kipindi kwanza nitarudi badae
 
Nadhani tunaweza kuwafukuza wapangaji wetu Ikulu kwa kuwa hawawezi kutimiza mkataba watu
 
Mkinga>umeme sio janga la taifa but janga la serikali,kenya wametenga 20% ya bajeti kwa ajili ya kuzalisha umeme wa joto ardhi hapa TZ ni 3% ya bajeti mwaka huu.

Hii ni shida kubwa kwa taifa, vipaumbele havizingatiwi!
 
huyu mama simba anaaza kuboa eti watanzania hatusubutu kuwekeza kwenyeumeme wa inveta unaweza tumia ata milioni3 ukijiuliaza vipato vya watanzania walio chakachuliwa sijuwi kama inawezekana
 
Mkinga anamwaga data za ukweli, huyo mama anashauri wananchi wajitafutie vyanzo vyao vya uwekezaji wa umeme!

Wataalam wa umeme hebu tuambieni nafasi ya mwananchi mmoja mmoja ktk uwekezaji wa umeme wenye tija.
 
Huyo mama ni mtetezi wa mafisadi anaongea kirahisi rahisi .Mtu hajui atapata wapi mlo wa siku je huo uwekezaji utakaje:A S 103:
 
Wadau wajitokeze zaidi waanzishe Tvs mfano wa ITV then wakabuni such vipindi ingekua safi sana
 
mkinga leo kaumbuka ameeleza jinsialivo nusulika kukikosa kipindi alikuwa kwa kinyozi kunyowa akaylewa upande umeme ukakatika
Hali ya kukatika kwa umeme inaumiza sana, watu wanatoka nyumbani bila kunyosha nguo zao, wanalala gizani!
 
Mkinga anamwaga data za ukweli, huyo mama anashauri wananchi wajitafutie vyanzo vyao vya uwekezaji wa umeme! Wataalam wa umeme hebu tuambieni nafasi ya mwananchi mmoja mmoja ktk uwekezaji wa umeme wenye tija.
Pandikizi huyu mama simba ndowanao faidika na hi miladi inaoibuliwa tunavoteseka wengine wananufaika nivigumu mfano kama unakazi yakuchomelea huwezi kutumia umeme huo
 
Huyo mama ni mtetezi wa mafisadi anaongea kirahisi rahisi .Mtu hajui atapata wapi mlo wa siku je huo uwekezaji utakaje:A S 103:
Mama anazungumzia mambo ya peponi ambayo hatuwezi kuyaishi huku duniani! Kuhusu COSTECH kazi zao hazipo dhahiri sana kwa wadau!
 
Huyu mama katumwa na CCM au TANESCO ili aje agombee viti maalum. Au ndo huu uanauke na uzee?
 
mkinga anasema huo umeme wasora hauwezi tufikisha kokote tujielekeze umeme wataifa ambao tunaweza endesha viwanda tureni nk mama yeye anataka wa sora sijuwi anahisa huko
 
Mkinga akiingia bungeni its an example hiyo miongozo na taarifa zitakazoombwa sipati picha
hapo umesema tena aje kugombea kwa tiketi ya cdm...tena asiende mbali zaidi ya jimbo la segerea maana mbunge aliopo ni kama pazia vile........Renatus ni mzuka, gubu, au uchungu wa ufisadi maana.......
 
Back
Top Bottom