Kipima joto ITV LIVE: Mada mgao wa umeme mpaka lini?

Mama simba ni mtetezi wa mafisadi haswa anajulikana sana kwa fitna na uchonganishi yupo hapo alipo kwa fadhila tu za kitwana kondo kumsaidia JK wakati uleeee.....sasa huyu mama anabebwa kulipa fadhila hana cha zaidi.....muda wake utafika ataaibika wazi wazi mpeni muda kidogo tu
 
Mkinga akiingia bungeni hatari sana miongozo kama 200 bunge zima.
Tatizo lake alitaka ubunge kupitia magamba tena huko songea ambako hajulikani. Angegombea jimbo la Kinondoni kupitia CDM sasaiv ingelikuwa tunaishuhudia hyo miongozo mkuu.
 
Back
Top Bottom