bado wapiga sim wanamponda mama simba kwamba yupo kwamanufa ya wa chache mkinga kapigilia anasema vigogo wanao ka masaki wanamjenileta bule nyumba bule sim bule kula bule hawana huluma na watanzania
mkinga hitimisho kamuagiza kikwete umeme shule reli vinginevo ataiita selikali yakisani
eti awamu ya KIKWETE ya utawala ni Awamu ya wasanii- Mkinga! bye friends
Hivi ana undugu na sofia simba?mbona kama akili zilezile!mama simba wale wote wanao husika mikataba wawe makini hitimisho bado anasisitiza tuimvesiti kwenye maimveta
Inawezekana hadi kichefuchefu ni jami ya kifisaji sifa anazo mojawapo nikuto kuwa naaibu sifa kuu kwa mafisadiHivi ana undugu na sofia simba?mbona kama akili zilezile!
usinilaum mimi walaum mafisadi ndowalio nifanya nikose elim hininayo itumia ni yavijiweni Jee? Ujumbe hujapata? kama sijakosea kuna jukwa la rughaMh!Mkuu tuko pamoja nakukubali lakini hizo 'l' na 'r' zipe haki yake kidogo
Mkinga akiingia bungeni its an example hiyo miongozo na taarifa zitakazoombwa sipati picha
Ongeza na hii: Tz inakadiriwa kuwa na watu 44M wakati Kenya ina watu 30MHebu nisaidieni hapa. Bajeti ya Kenya ni zaidi ya shilingi za kitanzania trilioni 20, nchi ndogo kijiografia ingawa kiidadi inakaribiana na TZ, wametenga 20% ya bajeti yao kwa ajili ya umeme maana yake wanatoa zaidi ya bilioni 500 kwa ajili ya umeme. TZ 3% YA TRILIONI 13 za bajeti yetu ambayo karibu trilioni 3 ni za kulipia madeni .