Mkiliman
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 983
- 340
ITV ni noma aisee, angalia vipindi vyao eg: malumbano ya hoja, dk 45, n.kWadau wajitokeze zaidi waanzishe Tvs mfano wa ITV then wakabuni such vipindi ingekua safi sana
ITV ni noma aisee, angalia vipindi vyao eg: malumbano ya hoja, dk 45, n.kWadau wajitokeze zaidi waanzishe Tvs mfano wa ITV then wakabuni such vipindi ingekua safi sana
Hata aliyetakiwa kuja kutoka wizara ya nishati nae ameingia mitini! ameogopa kudanganya watanzania!Mada mgao wa umeme mpaka lini? msemaji wa tanesiko aingia mitini mkinga ndani ya nyumba
Kweli hawa jamaa noma mkuuITV ni noma aisee, angalia vipindi vyao eg: malumbano ya hoja, dk 45, n.k
huyo mama haiwakilishi serikali, yeye anajifanya mjasiriamali anayetaka watz wawekeze ktk umeme, mie naona yote anayosema mama ni ya kufikirika tu na hayana uhalisia wowote!Hivi hawa mawaziri ni kiburi au ni ujuha wa kuto elewa kitu ...kweli ni majibu gani anayotoa huyo mama.Yaani wanaudhi sana kila mtu anajua kuwa umeme ni janga la taifa.sasa yeye kama mtetezi wa serikali alibidi aonyeshe uzito wa swala hili sio majibu kama hayo yasiyo msingi kabisa...
haswaa kamjibu lkn mama kiburi saaana, anathubutu vp kusema watz wanaweza kuwekeza ktk nishati? shit huyu bibi anaota zawadi uwaziri!Safi sana mpiga sim amempa fact huyu mama Simba
Probably mana ndio hawa wenye Finca ndio maana katolea mfanoHuyu mama GAMBA nini? Hivi ni mke wa Simba yule waziri?