Mgao wa Umeme ni wa Kutengenezwa, kuundwe Kamati Huru

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,555
41,066
Ukizungumza na baadhi ya wataalam wa TANESCO, wanasema mgao wa umeme ni wa kutengenezwa. Sababu za kutengeneza mgao huo zinatajwa ni ubinafsi wa baadhi ya watu, LAKINI nyingine inayotajwa ni maelekezo kwa nia ya kuisadia CCM.

Kati ya mashirika ambayo yametumika sana kuwatajirisha baadhi ya wafanyabiashara na baadhi ya wanasiasa, kwa njia haramu, ni TANESCO. Na hali hiyo imekuwepo wakati wote, na sasa imekomaa.

Kuna wakati uhaba wa umeme ulitengenezwa ili uhaba huo utoe uhalali wa kununua umeme toka majenereta ya makampuni binafsi. Kuna wakati uhaba wa umeme umetengenezwa ili wafanyabiashara wa majenereta wapate soko kubwa la majenereta yao.

Kauli tu moja ya Magufuli kuwa hataki mgao wa umeme au la mkurugenzi na watu wake watafukuzwa kazi, ilitosha mgao kukoma na umeme kuwa wa kutosha.

Hatimaye wafanyabiashara walipofanikiwa kumwingiza mtu wao kuwa Wairi, mgao ulianza. Na ilipoonekana mgao ni mdogo, akaamrisha bwawa lifunguliwe, maji yapungue, akitengeneza sababu kuwa maji yakiwa mengi yatabomoa kingo za bwawa. Wataalam wa TANESCO waliokataa, walihamishwa kitengo, na walioletwa wakafungulia maji yapotee ili mazingira ya mgao yaimarike.

Kwa sasa, sababu za huo mgao wa kutengenezwa, wapo wanaosema ni maslahi binafsi ya wafanyabiashara wakubwa, LAKINI ambayo inasemwa zaidi ni hii ya CCM kutafuta pesa za kampeni kupitia kwa wauzaji wakubwa wa majenereta makubwa ya umeme.

Kama Serikali, CCM, waziri aliyetoa amri maji yafunguliwe ili mabwawa yapungukiwe maji, na baadhi ya watendaji wakuu wa TANESCO hawahusiki na huu upungufu wa umeme wa kutengenezwa, kwa nini isiundwe tume huru ya kuchunguza kuwabaini wahusika halisi wa huu upungufu wa umeme wa kutengenezwa? Kwa sasa, kwa ujumla kuna hasara ya mabilioni ya pesa yanayopotea kutokana na kutokuwepo umeme. Kwa nini Taifa zima liangamie kwaajili tu ya manufaa ya CCM au waziri au maafisa wa juu wa TANESCO?
 
kipindi akina magufuli wanatamka hadharani kwamba kuna uhuni sana ktk taasisi za serikali na kuanza kuchukua hatua,ndio kwaanza wenzetu mkambatiza majina bora kabisa kwa mtizamo wenu,dictator,nduli,asiyeshaurika,mshamba nk.

nchi hii ni yetu sote ikizama tunazama nayo,tuwape moyo wenye nia ya kufanya mabadiliko.
 
F2B7A81A-117F-47AE-BC74-86DF61139B9B.jpeg

Hiyo ndio report ya ‘risk management’, wenye jukumu la kuanda report ni senior corporate managers, sio board.

NED (non executive directors), wao wanajukumu la kuchimba zaidi kwa mujibu wa ‘corporate governance’ kama wasimamizi neutral wa uendeshaji wa shirika. Kunatakiwa kuwa ‘internal control’ committee ambayo inaongozwa na NED board member na wanajukumu la kuangalia control measures in place za operation including risks za kukatika umeme na mitigation strategy iliyopo.

Internal audit committee pia inatakiwa kuongozwa na NED sio board nzima (kuna maana gani sasa ya kuunda committee inayoongozwa na wafanyakazi wa ndani).

0D1B597E-BEAF-4361-B04C-1583B4139983.jpeg

Worst kwenye hiko kitu wanachoita ‘risk management framework. Hakuna operation risk, control risk nor audit risk mentioned.

This is why hata huko serikalini hawajui tatizo ni nini hasa, wameshakubali solution ni kusubiri bwala JNHPP.

Uwezi kuteua body ya NED kwa kuletewa na waziri, worst body ambayo imejaa marafiki zake. Hapo hapo waziri ateue na mkurugenzi wa shirika ambae pia ni rafiki yake. You want get balanced arguments ya kinachoendelea bila ya kusahau body aina watu wenye sifa za kuweza kuongoza ‘internal control committee’, ‘audit committee’ wala mwenyekiti anatakiwa kuwa na uelewa mpana wa biashara majority of NED lacked accepted qualifications.

Hizo rules zipo kwa sababu ya management science sio watu kujiamulia shareholders washatandikwa sana directors wamashirika. Sasa sisi tunataka kufanya mambo kwa mtindo wetu tofauti na uelewa wa dunia hata kama rules zipo wazi halafu tutegemee matokeo mengine. Sasa why on earth watu walikuja na agency theory, corporate code of governance au accounting professional bodies zinataka financial report regulations zionngelee maswala ya operation risks and mitigation strategies in place.
 
Ukizungumza na baadhi ya wataalam wa TANESCO, wanasema mgao wa umeme ni wa kutengenezwa. Sababu za kutengeneza mgao huo zinatajwa ni ubinafsi wa baadhi ya watu, LAKINI nyingine inayotajwa ni maelekezo kwa nia ya kuisadia CCM.

Kati ya mashirika ambayo yametumika sana kuwatajirisha baadhi ya wafanyabiashara na baadhi ya wanasiasa, kwa njia haramu, ni TANESCO. Na hali hiyo imekuwepo wakati wote, na sasa imekomaa.

Kuna wakati uhaba wa umeme ulitengenezwa ili uhaba huo utoe uhalali wa kununua umeme toka majenereta ya makampuni binafsi. Kuna wakati uhaba wa umeme umetengenezwa ili wafanyabiashara wa majenereta wapate soko kubwa la majenereta yao.

Kauli tu moja ya Magufuli kuwa hataki mgao wa umeme au la mkurugenzi na watu wake watafukuzwa kazi, ilitosha mgao kukoma na umeme kuwa wa kutosha.

Hatimaye wafanyabiashara walipofanikiwa kumwingiza mtu wao kuwa Wairi, mgao ulianza. Na ilipoonekana mgao ni mdogo, akaamrisha bwawa lifunguliwe, maji yapungue, akitengeneza sababu kuwa maji yakiwa mengi yatabomoa kingo za bwawa. Wataalam wa TANESCO waliokataa, walihamishwa kitengo, na walioletwa wakafungulia maji yapotee ili mazingira ya mgao yaimarike.

Kwa sasa, sababu za huo mgao wa kutengenezwa, wapo wanaosema ni maslahi binafsi ya wafanyabiashara wakubwa, LAKINI ambayo inasemwa zaidi ni hii ya CCM kutafuta pesa za kampeni kupitia kwa wauzaji wakubwa wa majenereta makubwa ya umeme.

Kama Serikali, CCM, waziri aliyetoa amri maji yafunguliwe ili mabwawa yapungukiwe maji, na baadhi ya watendaji wakuu wa TANESCO hawahusiki na huu upungufu wa umeme wa kutengenezwa, kwa nini isiundwe tume huru ya kuchunguza kuwabaini wahusika halisi wa huu upungufu wa umeme wa kutengenezwa? Kwa sasa, kwa ujumla kuna hasara ya mabilioni ya pesa yanayopotea kutokana na kutokuwepo umeme. Kwa nini Taifa zima liangamie kwaajili tu ya manufaa ya CCM au waziri au maafisa wa juu wa TANESCO?
Tunakumbuka watu walivyobeba pesa za Escrow kwenye masandarusi !!
Yote uliyosema yanaonekana ni kweli !
Lakini kuundwa Tume hiyo ni kupoteza pesa kama pesa ilivyopotea kwenye Rasimu ya Warioba !!
Shamba la bwana Heri na mbuzi wa bwana Heri !!
 
kipindi akina magufuli wanatamka hadharani kwamba kuna uhuni sana ktk taasisi za serikali na kuanza kuchukua hatua,ndio kwaanza wenzetu mkambatiza majina bora kabisa kwa mtizamo wenu,dictator,nduli,asiyeshaurika,mshamba nk.

nchi hii ni yetu sote ikizama tunazama nayo,tuwape moyo wenye nia ya kufanya mabadiliko.
Kabisa !
 
Ukizungumza na baadhi ya wataalam wa TANESCO, wanasema mgao wa umeme ni wa kutengenezwa. Sababu za kutengeneza mgao huo zinatajwa ni ubinafsi wa baadhi ya watu, LAKINI nyingine inayotajwa ni maelekezo kwa nia ya kuisadia CCM.

Kati ya mashirika ambayo yametumika sana kuwatajirisha baadhi ya wafanyabiashara na baadhi ya wanasiasa, kwa njia haramu, ni TANESCO. Na hali hiyo imekuwepo wakati wote, na sasa imekomaa.

Kuna wakati uhaba wa umeme ulitengenezwa ili uhaba huo utoe uhalali wa kununua umeme toka majenereta ya makampuni binafsi. Kuna wakati uhaba wa umeme umetengenezwa ili wafanyabiashara wa majenereta wapate soko kubwa la majenereta yao.

Kauli tu moja ya Magufuli kuwa hataki mgao wa umeme au la mkurugenzi na watu wake watafukuzwa kazi, ilitosha mgao kukoma na umeme kuwa wa kutosha.

Hatimaye wafanyabiashara walipofanikiwa kumwingiza mtu wao kuwa Wairi, mgao ulianza. Na ilipoonekana mgao ni mdogo, akaamrisha bwawa lifunguliwe, maji yapungue, akitengeneza sababu kuwa maji yakiwa mengi yatabomoa kingo za bwawa. Wataalam wa TANESCO waliokataa, walihamishwa kitengo, na walioletwa wakafungulia maji yapotee ili mazingira ya mgao yaimarike.

Kwa sasa, sababu za huo mgao wa kutengenezwa, wapo wanaosema ni maslahi binafsi ya wafanyabiashara wakubwa, LAKINI ambayo inasemwa zaidi ni hii ya CCM kutafuta pesa za kampeni kupitia kwa wauzaji wakubwa wa majenereta makubwa ya umeme.

Kama Serikali, CCM, waziri aliyetoa amri maji yafunguliwe ili mabwawa yapungukiwe maji, na baadhi ya watendaji wakuu wa TANESCO hawahusiki na huu upungufu wa umeme wa kutengenezwa, kwa nini isiundwe tume huru ya kuchunguza kuwabaini wahusika halisi wa huu upungufu wa umeme wa kutengenezwa? Kwa sasa, kwa ujumla kuna hasara ya mabilioni ya pesa yanayopotea kutokana na kutokuwepo umeme. Kwa nini Taifa zima liangamie kwaajili tu ya manufaa ya CCM au waziri au maafisa wa juu wa TANESCO?
Ikibainika wauawe wote walioasisi mgao
 
kipindi akina magufuli wanatamka hadharani kwamba kuna uhuni sana ktk taasisi za serikali na kuanza kuchukua hatua,ndio kwaanza wenzetu mkambatiza majina bora kabisa kwa mtizamo wenu,dictator,nduli,asiyeshaurika,mshamba nk.

nchi hii ni yetu sote ikizama tunazama nayo,tuwape moyo wenye nia ya kufanya mabadiliko.
Tukubaliane tu kuwa kuna maeneo marehemu alikosea, na kuna maeneo hata sisi wakosoaji tulikosea. Hata hivyo, kiongozi kufanya vizuri kwenye jambo moja, haiwi sababu ya kutokosolewa akifanya kosa mahali pengine.
 
Ukizungumza na baadhi ya wataalam wa TANESCO, wanasema mgao wa umeme ni wa kutengenezwa. Sababu za kutengeneza mgao huo zinatajwa ni ubinafsi wa baadhi ya watu, LAKINI nyingine inayotajwa ni maelekezo kwa nia ya kuisadia CCM.

Kati ya mashirika ambayo yametumika sana kuwatajirisha baadhi ya wafanyabiashara na baadhi ya wanasiasa, kwa njia haramu, ni TANESCO. Na hali hiyo imekuwepo wakati wote, na sasa imekomaa.

Kuna wakati uhaba wa umeme ulitengenezwa ili uhaba huo utoe uhalali wa kununua umeme toka majenereta ya makampuni binafsi. Kuna wakati uhaba wa umeme umetengenezwa ili wafanyabiashara wa majenereta wapate soko kubwa la majenereta yao.

Kauli tu moja ya Magufuli kuwa hataki mgao wa umeme au la mkurugenzi na watu wake watafukuzwa kazi, ilitosha mgao kukoma na umeme kuwa wa kutosha.

Hatimaye wafanyabiashara walipofanikiwa kumwingiza mtu wao kuwa Wairi, mgao ulianza. Na ilipoonekana mgao ni mdogo, akaamrisha bwawa lifunguliwe, maji yapungue, akitengeneza sababu kuwa maji yakiwa mengi yatabomoa kingo za bwawa. Wataalam wa TANESCO waliokataa, walihamishwa kitengo, na walioletwa wakafungulia maji yapotee ili mazingira ya mgao yaimarike.

Kwa sasa, sababu za huo mgao wa kutengenezwa, wapo wanaosema ni maslahi binafsi ya wafanyabiashara wakubwa, LAKINI ambayo inasemwa zaidi ni hii ya CCM kutafuta pesa za kampeni kupitia kwa wauzaji wakubwa wa majenereta makubwa ya umeme.

Kama Serikali, CCM, waziri aliyetoa amri maji yafunguliwe ili mabwawa yapungukiwe maji, na baadhi ya watendaji wakuu wa TANESCO hawahusiki na huu upungufu wa umeme wa kutengenezwa, kwa nini isiundwe tume huru ya kuchunguza kuwabaini wahusika halisi wa huu upungufu wa umeme wa kutengenezwa? Kwa sasa, kwa ujumla kuna hasara ya mabilioni ya pesa yanayopotea kutokana na kutokuwepo umeme. Kwa nini Taifa zima liangamie kwaajili tu ya manufaa ya CCM au waziri au maafisa wa juu wa TANESCO?
Screenshot_2023-12-24-16-00-10-1.png
 
Upo sahihi kbs
 
Back
Top Bottom