Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,861
- 808
kwani matokeo tyr? Au unahakika umeshajua matokeo? Ulikuwa na pepa ni ww? Vyuo vyote vizuri inategemea kozi na kichwa chako.
Haswaaaaa. TZ Nzima hakuna Kama UDSM mpaka sasa
udsm baba yao, kinafwata SUA, Mzumbe,Muhimbili....vingine ni vyoo vikuu...nasapoti kauli ya Dr Lymo
Mtwara ama Magogoni?Public Service
aise mrembo ulisha kiss the ground nini
udsm baba yao, kinafwata SUA, Mzumbe,Muhimbili....vingine ni vyoo vikuu...nasapoti kauli ya Dr Lymo
Namshangaa huyu, aende D. I. T, hawapaki hina pale!Ugumu wake ni nini?
amazon college! au magomeni secretarial college!
Kwa Tanzania Chuo kikuu bora ni Uböngo wako. Ukilewa jina la chuo ulicho soma utakuja frustrate utakapo anza kusaka ajira utakapo shangaa kuona wahitimu wa vyuo unavo dhani sio bora wakionyesha umahili wa hali ya juu kukidhi mahitaji ya mwajiri.
udsm baba yao, kinafwata SUA, Mzumbe,Muhimbili....vingine ni vyoo vikuu...nasapoti kauli ya Dr Lymo
Mhmm! Mkuu sijakuelewa, JK kakikuta na masomo pale, au unamaanisha vp. Fungukazao la jk
kwa ubora umesahau RUCO -ruaha university college! Hakina mpinzaniudsm baba yao, kinafwata SUA, Mzumbe,Muhimbili....vingine ni vyoo vikuu...nasapoti kauli ya Dr Lymo