Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

Mkuu nakushauri nenda pale UDSM utapata hostel za vitanda bila godoro mabibo hostel lakin mwisho wa siku utatoka na jiwe la ukwel.
 
Tunapoongelea chuo kikuu bora tunaangalia vitu gani wakuu??
Uwezo wa watu wanaowapokea, mazingira ya kupata elimu, Gharama(ada na mengineyo), umri wa chuo au......?
Kwa kweli ubora wa vyuo vyetu umeshuka sana na hii inanipa shida kidogo kusema kipi chuo bora
 
Kwanza ungetaja kozi ambayo unataka kusoma,kama fedha ntakuambia nenda B.Com Ud,kilimo SUA,Medical Technology Mzumbe,Accounts IFM,Tourism -Tumain,Udokta,MUHAS,KCMS,BUGANDO,Ualimu Mkwawa,Duce,Teku,Sauti,na Udom koz zote,chuo bora wewe njoo ulale ujueubora
 
Hakuna chuo bora,juhudi zako ndo zaleta ubora,kwa nchi zetu zinazoendelea ni shida,Vyuo bora vipo nchi zilizoendelea kama Havard,Oxford university,Minesota,hivyo nlivyotaja so bora nimependekeza ubora wa kozi kwa nioavyo.:::::kama unataka ubora kasome nje
 
Ni kwel kwanza udsm pili sua,jaribu uone mpaka kupata bachelor humo kaza vibaya ukizubaa wanakata head faster!
 
Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?

vyuo vyote ni bora lkn inategemea kwa nyanja ip. Chuo kama UDSM ni kizuri lkn ni kizur zaid kama unachukua enginearing. Na for udactar nenda muhimbili.
 
vyuo vyote ni bora lkn
inategemea kwa nyanja ip. Chuo kama UDSM ni kizuri lkn ni kizur zaid
kama unachukua enginearing. Na for udactar nenda muhimbili.

wewe ndie uliyechora Zombie kwenye mtihani wa form four???? uandishi unafanana sana...
 
Chuo kikuu ni bora kutokana na kozi yake.
UDSM sheria
SUA kilimo na mifugo
Mzumbe Human rm
Dogo unazingu bila juu ya GPA 10 usijaribu hivyo vyuo.
Tafuta Tumaini ya Dar. Unakata nguo bila mtoto kuzaliwa.
 
Mtaalam Mathabane amenigusa. Jina la Chuo si hoja ila unavyotoa huduma inayokubalika katika jamii na kuendesha maisha yako na familia. Suala la GPA hata '------' ni ya kupekua lakini amekuwa sehemu ya walioning'iniza maisha ya watanzania walio wengi. Mkuu Mathabane chukua 'like' nyingine.
 
Kama wewe ni kipanga nenda pale mlimani, lakini pale wanataka vichwa!!!!Kama ulipata marks za kuhesabia mfukoni, usijaribu hata kufanya application!!!

Tiba
wanatakaje vichwa mkuu...wanakata watu vichwa au??? mbona kuna watu wana div3 tena mbovu na wako pale!!!! na walifanya applications na wamepata....UDSM unayosemea wewe ni miaka kumi iliyopita ila kwa sasa ni ya kawaida mnooooo!!
 
Back
Top Bottom