Cku hizi watu hawaangalii vyuo vizuri wanaangalia kozi nzuri, unataka kusomea nini? Ila chuo kikuu udsm kizuri ila kigumu sanaa
tommyy, vyuo Tanzania hii ni vingi, Je unaongelea uboea wa chuo katika nyanja ipi? Michezo, Majengo, Mazingira au?
Kama ni elimu unaongelea chuo katika kozi (z)ipi?
Haswaaaaa. TZ Nzima hakuna Kama UDSM mpaka sasaKama wewe ni kipanga nenda pale mlimani, lakini pale wanataka vichwa!!!!Kama ulipata marks za kuhesabia mfukoni, usijaribu hata kufanya application!!!
Tiba
Mm ni muhtimu wa kidato cha 6 natarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu ni kipi chuo bora wakubwa,nielekezeni mdogo wenu na munipe sababu kw nn ni bora?
.............hakuna kama UDSM kwenye masuala yapi na unakifananisha UDSM na chuo gani ktk fani gani? elezea kidogo ili watu wajue hiyo taarifa yako ilizingatia vitu gani, usiwe unaongea tu kama mtoto wa form 4 aliyemaliza mwaka jana.Haswaaaaa. TZ Nzima hakuna Kama UDSM mpaka sasa