Kipi Bora MBA in finance au CPA /ACCA

Mikdde

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
5,721
5,582
Naomba kuuliza kama mtu umejiajiri na unatamani kujiendeleza kimasomo kwenye fani ya usimamizi wa fedha ...ni Bora kusoma kipi kati ya hizo program mbili na kati ya hizo ni ipi ambayo itakupa muda mzuri wa kufanya mambo yako mengine ..

NB : naomba pia ushauri wa chuo gan kinatoa evening classes Kwa Master degree
 
Mimi sio mhasibu ila haiitaji kuwa na PhD ya Physics kujua kwamba CPA ndio bora.

CPA inakutambulisha kama mtaalamu "professional".

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Nashukuru sana Kwa ushauri wako
Ukimaliza CPA ndio usome masters.. atleast kwanza utambulike kama a professional..

Pitia huu uzi upate abc kutoka kwa wahasibu wenzako.

Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuuliza kama mtu umejiajiri na unatamani kujiendeleza kimasomo kwenye fani ya usimamizi wa fedha ...ni Bora kusoma kipi kati ya hizo program mbili na kati ya hizo ni ipi ambayo itakupa muda mzuri wa kufanya mambo yako mengine ..

NB : naomba pia ushauri wa chuo gan kinatoa evening classes Kwa Master degree
vyote kwakweli ni bora sana, itategemea muda wako na program yeyewe.

kuhusu chuo nadhani sifahamu 🐒
 
Achana na master's degree kwanza pambania CPA

Tuna wahasibu wengi sana wenye bachelor's degree au master's degree lakini kisheria sio wahasibu

Professionally na kisheria mhasibu ni yule mwenye CPA
 
Ukimaliza CPA ndio usome masters.. atleast kwanza utambulike kama a professional..

Pitia huu uzi upate abc kutoka kwa wahasibu wenzako.

Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Nimependa hii ...be blessed boss ..acha nifatilie mkuu
 
Naomba kuuliza kama mtu umejiajiri na unatamani kujiendeleza kimasomo kwenye fani ya usimamizi wa fedha ...ni Bora kusoma kipi kati ya hizo program mbili na kati ya hizo ni ipi ambayo itakupa muda mzuri wa kufanya mambo yako mengine ..

NB : naomba pia ushauri wa chuo gan kinatoa evening classes Kwa Master degree
Binafsi sijui ingekua course za Engenearing hapo tunaongea lugha moja🙏
 
Ukifanya ACCA ukafaulu mitihani yake. CPA utaipata pia kwa urahisi sana. Maana mwenye ACCA huwa anafanya mitihani mitatu tu kisha anapewa CPA.

Ila ukiwa na CPA bado hupati favor yoyote kwenye ACCA.

Pia ACCA inaheshimika kuliko CPA na Masters

Fanya uchunguzi wako utaona wafanyakazi wa big 4 Auditing firms. Wanavyopiga shortcut kupata CPA. Kwa kutumia mbinu ya kufanya ACCA kwanza.
 
Wapi naweza kusoma ACCA hapa nchini ..I mean tuition center na vituo vya mitihani
 
Back
Top Bottom