Anawezaje kupata Chuo?

KIBUGAmk

Member
Jan 22, 2024
83
130
Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo chuoni, na ni kwanamna gani anaweza kutengeneza marafiki wengi awapo chuoni, ikibidi hata chuo kizima awe na urafiki na kila mtu ili kuwe na wepesi kupata connection kwenye maswala ya kimaisha,

Nawasilisha
 
inategemea kama ana tabia ya kujichanganya na watu, na anajichanganya na watu wa namna gani

huwezi mlazimisha, halafu msiwe na mategemeo makubwa kuhusu chuo

chuo ni shule kama shule zingine tu
 
Hapo inabidi awe na kamwili kadogo kadogo halafu awe amechangamka. Ili ajulikane sasa inabidi afanye huu ujinga…awe anajipendekeza kwa wadada na wakaka wa diploma na degree awe anawaita dada, kaka, dadiii, mamiii.
 
Back
Top Bottom