Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 724
si mara zote kuzaa sana kunaleta effect ya mara moja.Kuna issues nyingi tuu zinapelekea uzazi wa fujo usimaanishe wingi wa hapohapo.
Na mojawapo ya mambo ya mambo yanaongoza ongezeko hilo ni haya hapa.
-Ulinganifu wa idadi ya watu.
Kwa walio wengi wana uwezekano wa kutoa watu wengi wenye uwezo wa kuzaa.
-Idadi ya wenye kuweza kuzaa(fertility) na wenye hiyo nia katika watu waliopo.Idadi ya watu wenye uwezo wa kuzaa na utayari wa kuzaa.Kama ni wengi basi wanahitaji kuzaa idadi ndogo tuu ya watu kulinganisha na wengine ili wabaki kuwa wengi au kuongezeka zaidi.mfano. Kundi A na Kundi B, kundi A=2B, kundi A(wamama) likizaa wastani wa watoto 3,wanakuwa wameingiza mara 6 ya watu wenye uwezo wa kuzaa wa kundi B, kundi B likizaa wastani wa watoto 6, wanakuwa wameongeza watoto sasa na kundi la kwanza.Yaani wamama 8 wa kundi A wakizaa watoto 3 kila mmoja, na akina mama 4 wa kundi B wakizaa 6 jumla ya kila mmoja ni 24.na hivyo kutobadili sana matokeo.Na tz makundi yote watu wanapenda kuzaa ila wanatofutiana idadi.
-Idadi ya wanaopona na kufikia kuwa watu wazima.
Vifo vya utotoni, ambavyo pia vinapunguza idadi na kasi ya ongezeko pia ni kigezo.Suala la vifo vya utoto, hili linaongozwa na huduma za afya sehemu husika, maumbile, lishe, genetics etc.
-Ulinganifu wa idadi ya Vifo katika makundi husika.Kundi gani linakufa zaidi kwa magonjwa kama ukimwi, sukari, na pressure, magonjwa ya kuridhi, vurugu , etc.Zote hizi si sawa kwa waislam na wakristu.Hapa bila kusahau magonjwa ya uzao wa ndugu wa karibu.Kwa wale wanaoingia kwa lengo la kuzaa wanakuwa katik risk ya kuingia kavukavu na hivyo kupata ukimwi ambao pia hupelekea wake wengine,ambao nao kam wanaiba nje kwa watu wa jamii yao basi hujikuta wakiongeza kasi ya kuuana sana.
-Pia tamaduni za makundi husika katika huo ulinganifu.
-Mahusiano ya uzazi kati ya hayo makundi.Kundi linalozaa na lingine kwa wingi na kuchukua uzao huo.
-Kasi ya kuingiza waumini wapya.Idadi ya wakristu wanaoingia kati uislam kama familia inaweza isiwe na madhara kama idadi ya waislam wanaoingia katik ukristu.Yaani familia ya kiislam kuigia ukristu itaingia ikiwa kubwa kuliko kinyume chake.Net effect inaweza ikawa na manufaa kwa wakristu.
-Pia utii/kutotii baadhi ya sheria za dini.Kuna wakristu wanaoishi kijadi au hata kuacha baadhi ya vipengele vya dini.Hawa wamezaa na wanawake kibao nje ya ndoa.Na hawa wanashindana hata na waislam kwa idadi.
Hii pia inaweza kubadilika au kuongezewa na waumini wanaoingia kama mmojammoja.Inategemea dii gani inaigiza na kuweza wabakisa wengi zaidi.
Mwisho.Ni kwamba hizo fators hapo juu na nyingine ambazo sijaziweka kwa pamoja zinaweza kuwa na net effect tofauti sana.Kwa hiyo msiamke haraka haraka kwa vile hawa wapiga domo ,wamekurupuka na upuuzi wao wakidhani ni fact.
Asante mkuu nilikuwa najaribu kuwashirikisha wanabodi kuhusu hoja dhaifu zinazotumiwa na baadhi ya watu kuijengea uhalali hoja hii,ukweli ni kuwa wengi wa tunaobishana humu ni wakereketwa wa dini zetu lakini si waumini wa hizo hatuishi kama dini hizo zinavyotutaka badala yake tumegeuka wachumia tumbo kupitia dini.