ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,115
- 49,838
Waziri wa Mambo ya ndani Hamadi Masauni ameyasema hayo Mkoani Mara wakati akizindua rasmi zoezi la ugawaji wa Vitambulisho vya Taifa.
---
Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Mhandisi Hamad Masauni amezindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya NIDA kitaifa Mkoani Mara, huku akiahidi kila mtu aliyesajiliwa na NIDA atapata kadi yake ya kitambulisho cha utaifa kabla ya Disemba 2024.
Akizindua zoezi hilo la ugawaji wa vitambulisho vya NIDA kitaifa Waziri wa mambo ya ndani ya Nchi Hamadi Masauni amesema kufikia Disemba 2023 hadi machi 2024 kila mtanzania atakuwa nakitambulisho cha NIDA kama maelekezo ya Rais yanavyotaka.
Pia katika hatua nyingine Waziri Masauni amesema wanaangalia namna bora ya kuboresha mamlaka ya vitambulisho vya Taifa NIDA kuanza kuzalisha vitambulisho yenyewe.
My Take
Kama jambo hili litafanikiwa,basi hii itakuwa historia nyingine na mfupa ulimshinda fisi umetafinwa Kwa meno.