Kipengele cha 'DINI' ktk vitambulisho vya taifa

Si mjihesabu jamani? Mkitaka tangazeni nyie ni 98% na 2% wapagani halafu muombe kuweka sharia halafu mawaziri wote na vyoote vyeo vijulikanavyo viwe kwenu wengine wabohora, wakristo, wayahudi tuta-mute tuwapishe kuliko kuleta shari ila baada ya miezi mitatu tu mtabofoana kwa manati maana ni kawaida yenu....!
Kwa sababu huelewi maana ya sensa nitakusamehe.. Hivyo kama mlitaka tujihesabu kwa nini mnatulazimisha tuhesabiwe kwa mfumo wenu kama machungwa sokoni. Kama hutambui kuwepo tofauti ya Waislaam na Wakristu kwa nini unaunga mkono CSSC chombo cha kikirstu kupeleka maendeleo ya elimu na Afya kwa wananchi.
 
Ongea kwa uelewa mkuu, waliotangaza wapo wengi nadhani ni vema ukawauliza walikuwa wanamaanisha nn kugeuza misikiti kuwa makanisa au vipi. Pole sana kwa jicho la kengeza na kuona nyani kundule la mwenzie ila la kwake halioni.

Mheshimiwa Happy Makuku, majibu yako ni dhahiri wewe pia ni mdau wa falsafa ya udini. Unaona fahari akina ponda pia kuutetea kwa vile wapo wengine walioutetea. Pamoja na kutoyajua, na sina haja ya kuyajua kabisa makundi hayo ambayo nathubutu kuyaita yaliyofilisika kisiasa na kiitikadi, nayaombea Mungu ayanyong'onyeze na yatokomee hukohuko! Tafuteni utaratibu wa kujihesabu katika makundi yenu, iwe wakati wa kutoa makafara kwa Mungu wenu, iwe wakati wa kuwapokea waumini wapya au wakati wowote mwingine mnaoona muafaka kukusanya takwimu za idadi yenu, na kamwe msitumie mwanya wa SENSA inayoendeshwa na serikali isiyokuwa na dini na kuivika udini ili mpate takwimu zenu!
 
uwingu au uchache unasaidia nini? mbona wapagani, wabidha, wahindu hawalalamiki? nchi zote ambazo waislamu ni wanakaribiana na wakristo kwa uwingi kuna shida za kuelewana kati ya wakristo na waislamu. nchi kama zambia haina mwisalamu hata mmoja ni amani tele. na hata waislamu wakiishi peke yao wanagombana wao kwa wao. lakini wakristo wakiishi peke yao hawagombani?
 
kama kuna mtu anamsikiliza ponda anapotea kwani ponda ana agenda yake binafsi iliyojificha ingawa waislamu wengi hatuelewi hili, kila kitu yeye tu. ina maana waislamu mwelewa ni ponda tu, wengine wote hawajui kitu? anapandikiza chuki kati ya wakristo na waiskamu wakati nchi hii kuna dini nying tu. wakristo kwa waislamu wamekuwa wakiishi kwa muda mrefu kwa amani na undugu ponda aache ujinga wake. kwanza nashangaa kwanini serikali inamuogopa? au kwakuwa waislamu ni wakorofi wataanza kuleta fujo?
 
baada ya sheikh ponda kuwashawishi wajinga wachache kugomea sensa kwa kigezo cha kutokuwapo kipengele cha dini katika madodoso ya sensa, sasa macho na masikio yanaelekezwa katika zoezi la vitambulisho vya taifa.

Swali la kujiuliza; je, ponda (kama kweli ni raia wa tz na anastahili kupewa id) na wengine wenye msimamo mkali wa dini ya kiisilamu, watagomea kupokea vitambulisho vya taifa hadi kipepengele cha dini kijumuishwe?

Majibu ya mswali haya mtayajua vizuri pale waislamu ambao hawaja andikishwa sensa watakopo sumbuliwa juu ya hivyo vitambulisho.

Akili zenu majuha ni kuchanganya mada. Kama nchi hii mnaweza kuitawala bila waislamu tutujua hapo wakati huo ukifika.
 
Back
Top Bottom