Msimbazi na kidongo chekundu ni mapambano askari mmoja naona anavuja damu.
na mamods sijui wapo wapi wanatuchoshaje?kuna watu wakiwashwa tu wanatupia thread.
Msimbazi na kidongo chekundu ni mapambano askari mmoja naona anavuja damu.
Lugha uliyotumia hapo kwenye red siyo sahihi. tumia lugha yenye stahaa
Nimefika hadi mitaa ya Fire lakini baada ya kusikia K/koo kimenuka nimegeuza kimeo changu na kurudi zangu Mwenge.
na mamods sijui wapo wapi wanatuchoshaje?
hata jukwaa halina mvuto tena