Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi
Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni
Hudumza zote wanapata huko huko
Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi
Starehe zao ni huko huko
Hosptali zao ni classic zipo
Maduka yao Posta mengi ni OG
Masoko na supermaket
Mtu akitoka sana jua anaenda ofisi za uhamiaji ama airport
 
Hili si la Uongo, nimekutana na Kijana Mzaliwa wa kariakoo mwenye Familia yake, hakuna sehemu nyingine anayoijua zaidi ya Kariakoo, Ilala, Magomeni na Posta yenyewe..Kwa sasa ndiyo ameanza angalau kutoka anaeza kwenda Maeneo mengine nje ya Mji...
Wote wanakaa nyumba za NHC siku wakitimuliwa sijui itakuwaje
 
Kuna dogo mmoja nilikutana nae katika mishe mishe anaishi mtaa wa zanaki hapo posta. Mikocheni hapajui wala ubungo au kawe hata hapo magomeni tu yeye hajawahi kufika.

Ni Posta kasoma shule za mjini, akitaka kusafiri anakula Pipa Airport basi
Wapo wengi
Ndio kushangaaa kwanini posta ambapo ikulu ipo kumejaliwa na wageni
 
Wengi wa wakazi wa maeneo hayo ni watu wenye asili ya kihindi na hata lafudhi zao zina maanisha kile mtoa mada alicho post.Wakazi wa maeneo hayo sababu ya race,uchumi mzuri wamejibagau .
 
Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi
Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni
Hudumza zote wanapata huko huko
Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi
Starehe zao ni huko huko
Hosptali zao ni classic zipo
Maduka yao Posta mengi ni OG
Masoko na supermaket
Mtu akitoka sana jua anaenda ofisi za uhamiaji ama airport
Hao lazima watakua wahamiaji hawana ndg sehemu zingine za Nchi! Wanakua kama ma diplomatic maisha yao yote Masaki tu hata magomeni hawapajui!!
 
Back
Top Bottom