Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Mashetani yanataka damu za watu nini?mbona hv isiwe ikawa ndo sadaka inatafutwa .......
 
Hao wameanza na kariakoo
Polisi kila kona
Hali ni mbaya

 

Attachments

  • wais%40_--%EF%BF%BC(_)Chulita%20%40_--(_)Fayu_3.jpg
    wais%40_--%EF%BF%BC(_)Chulita%20%40_--(_)Fayu_3.jpg
    10.1 KB · Views: 1,016
Serikali iwatafutie ajira ukiangalia sana watu hawana chakufanya ndo maana,njaa mbaya sana sidhani kama wangekuwa wameshiba au wana maduka kkoo wangefanya fujo.hapo swala la dini halipo hao ni wahuni,wkishindwa kutii sheria askari vunja miguu
 
Utawala huu usimame kidete...wako watu wanaoichezea amani.... tujiulize wa - Tanzania tuna tofauti gani na wenzetu wa Kenya... lakini Kenya walipigana, wakauana, wakachinjana sana kisa ukabila na kugombea madaraka....... na sababu nyingine zisizokuwa na maana..... sisi tumempa nini Mungu? Tusipoangalia kidogo kidogo, kidogo kidogo.... utashtukia mauaji ya kutisha
 
Dawa ya hawa jamaa alikuwa rais mkapa,mana mwembechai bomu za machozi ziliwafwata hadi msikitini.
 
Umechanganyikiwa na mabomu nini,picha iko wapi sasa tuwaone hao wazee wa maandamano!!
na kanzu zao
 
There are currently 522 users browsing this thread. (176 members and 346 guests)

Leteni Update basi
 
Modes hii thread picha imegoma kuingia hivyo msaada kuunganisha thread hii na thread nyingine yenye title kama hii ambayo picha imekubali kuingia
Wakuu samahani kwa usumbufu ni mambo ya technolojia ila mnaweza ipata kwenye thread nyingine inayofanana na hii
Shukrani wadau
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom