Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

jamani people, mbona hivi. naomba mjue sisi wote ni wamoja, wote ni watanzania. miaka yote tumeishi tukiongozwa kwa misingi ya amani, upendo, ushirikiano na mshikamano. Inakuaje tena hivi leo mambo hayo yametoweka ghafla? jamani me nasema hakuna kisasi kiletacho uzima hata siku moja bali ni maangamizo tu. Tuache kulipiza visasi na jeuri zisizo za misingi. sisi ni wamoja tupendande tu tukiachilia mbali tofauti zetu za kikabila na udini, tuwe na utaifa wote ni watanzania. biashara za kupigana sisi wenyewe ndani ya nchi yetu hazilipi kabisa. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
daaaaaaaah!!!!! bhaaaaaaaaasi!!! yaani watu wanatokoka kwenye swala then wanafanya fujo!! idiot!!!
 
wakuu tunasikia kelele mtaa kongo ni kama zinasogea huku lakini tupo imara

Simama imara kutetea sadaka ulizotoa wakija hao waabudu majini. Wanadhani sadaka tunazotoa huwa hatutaki kufanyia mambo mengine wao wanakuja kizembe tu kuchoma makanisa.
 
Kariakoo yote wameishafunga maduka askari wetu kumbe ni dhaifu sana...wanaowaonea wasamba wabeba mizigo kwa kuwapiga mabomu.
 
hali ni tete kkoo ni damu kila mahali, si wamuachie huyo sheikh ponda, nakuleteeni picha za maiti muda si mrefu.
 
Haya ndio matokeo ya manyanyaso na dhulma zinazofanywa na polisi kwa Watanzania katika sehemu mbali mbali nchini. Sasa Watanzania wamechoka na hali kama haikurekebishwa haraka basi vifo vya polisi na majeruhi yatazidi kuongezeka nchini kupitia mikononi mwa Watanzania.

Mkuu ingawa kuna ka-ukweli na usemacho ila nadhani sasa wanachokifanya polisi ni necessary (inabidi kuwakabili na kuwashika na kuwatia ndani hawa watu wanaotaka kuchangaya sheria na imani,

Kwahio badala ya polisi ku-concentrate na kuzima upinzani wa siasa na kupandikizia watu kesi za uongo.. wafanye kazi yao ya kuzima hizi fujo
 
Safari ni safari
A5kEJnvCMAAfACe.jpg large.jpeg
 
Back
Top Bottom