Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

tupo hapa kariakoo lutheran tangu jana hatujaondoka,kama wameanzia huko wanaweza kufika huku,ujumbe wangu kwao wasisogee hapa hata kama wametumwa na ikulu

kwani hapo mna kikosi cha mizinga?.
Angalia kesho usiwe headline ooohoo.
 
Yah! mm niko maeneo ya wizara ya maliasili kimenuka sio mchezo mabomu mawili yameingia ndani ya wizara. watu wamekimbilia ndani ya office zao na kujifungia
 
Kama vipi wasogee karibu na ikulu maana hapo kariakoo wanaharibu tu shughuli za watu. Hivi hawana kazi ya kufanya?
 
Kama wametoka kusali,,hasira za maandamano zinatoka wapi?
Hivi hii ni dini ya Mungu kweli?
 
tupo hapa kariakoo lutheran tangu jana hatujaondoka,kama wameanzia huko wanaweza kufika huku,ujumbe wangu kwao wasisogee hapa hata kama wametumwa na ikulu

dalili ya mvua ni mawingu, u mean unalinda kanisa, uko tayari kufa kwa ajili yake, kazi tunayo, na ndo ndiko tunakoelekea
 
Nimefika hadi mitaa ya Fire lakini baada ya kusikia K/koo kimenuka nimegeuza kimeo changu na kurudi zangu Mwenge.
 
then utapata kitu gani?? kama matatizo kwenye maisha yako unayatatua kwa kumpiga ngumi kila akupigae am realy sorry for you..
 
kwani hapo mna kikosi cha mizinga?.
Angalia kesho usiwe headline ooohoo.

mkuu sadaka zetu na michango ndiyo zimetufikisha hapa tulipo,hatupati fedha yoyote kutoka kwa wafadhili,kwa sababu hiyo tutalinda mali zetu kwa faida ya kizazi kijacho,hao wasijaribu kusogelea kanisa letu,tuna habari linawindwa mchana na usiku
 
tupo hapa kariakoo lutheran tangu jana hatujaondoka,kama wameanzia huko wanaweza kufika huku,ujumbe wangu kwao wasisogee hapa hata kama wametumwa na ikulu
Hahahah kwani ikulu ndo kitu gani Bwana.
 
Yah! mm niko maeneo ya wizara ya maliasili kimenuka sio mchezo mabomu mawili yameingia ndani ya wizara. watu wamekimbilia ndani ya office zao na kujifungia

ndo tuseme polisi hawana akili,,,,,,,maana hapo wizaran wanampigia nan????
 
Nimeongea na cm na rafik yangu ambae yuko city centre anasema ameshndwa kuingia mjin na gari kwa sababu ya kujaa kwa waislam ambao wamejaa akihofia usalama wa gari yake. hii inaonyesha kuna mitaa hawa jamaa wamejaa.

UPDATE:
Wanaelekea kariakoo, na inasemekana kariakoo kumechafuka

Maduka mengi yamefungwa na kila kona FFU, na wengne wanapita kushauri watu wafunge maduka
 
Duh, wadau nilipiga picha 4, nimepoteza simu yangu ya samsung niliyopigia picha. namshukuru Mungu nimefika Nyumbani salama.Hali si hali wadau.
 
Back
Top Bottom