Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

Mi muislam lkn huu unaofanywa na hawa jamaa si sahihi. Kuna njia sahihi za kupeleka ujumbe na si vurugu! Inanisikitisha sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nipo mitaa ya posta hapa, zimepita defender kama 5 na full FFU hope zinaelekea huko Kkariakoo, Pia shughuli zote zimesimama kariakoo, na mabank yote yamefunga!

sasa marejesho ya mikopo yatakuwaje , hiyo p.a.r itakavyo shoot
 
Saa ya ukombozi imewadia!
Huu ndo wakati muafaka wa kumtimua vasco dagama na kundi lake la mijizi

sijui jei-dabiliyuu-tii zedi wanasubiri nini kujitwalia injii hiii
 
JAMANI NO PICS?? WEKENI TUONE WATU WANAVYOJIKUNA! NAUKUMBUKA WIMBO WA DIAMOND SOUND, CHINI ALAN MULUMBA KASHAMA, OMARY MBONA UNAJIKUNA EE, OMARY MBONA UNAJIKUNA EE, SIYO SIRI MAMA, NINAWASHWA SANA, SIYO SIRI MAMA, NINAWASHWA SANA, NGWARA, NGWARALI, NGWARWALE!! lolest!

acha kunikumbusha mbali hivyo mamito na ijumaa yote hii... na tarehe bado za kati kati taaaabu kweli kweli...
hizi vuruguza maruhan bila kutumia kaudikteta mambo hayatakwenda..... mwache m.k.w.e.re aendelee kutalii tu akirudi anakuta hamna pa kupita
 
Back
Top Bottom