Vipi Fuso zilikuwepo?sasa wale si jobless mnawadanganya mtawapa kazi mkichukuwa nchi, labda wauze bar na grocery. Maana mchagga hata awe kasoma vipi bila kuwa na bar au grocery ya bia huyo hana maana.
"Wao wana majeshi na silaha nzito sie tuna mungu,wao wamejifunza kuua sie tunajifunza kufa"--Peopleessssssssssssssssss!!
CHADEMA ni janga la kitaifa!
Maandamano yawe yanapita karibu na makazi ya polisi.. Wakianza kupiga mahali pa kukimbilia iwe ni kota zao!!... Tuone kama wataua watoto wao na wake zao kuifurahisha CCM!...
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.
Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!
Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.
Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!
Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.
Tanganyika jeki ya nguvu hiyo.Polizi bwana........hawjui kuwa baada ya miaka mitatu wana weza kuja mpigia saluti huyu!
Ama kweli CHADEMA ilaaniwe maana ni janga la kitaifa,sasa kama kamanda aliagiza maandamano no why wao CHADEMA walazimishe maandamano?ningekua na uwezo ili lichama ningelifuta kabisaaaaaa!