Huyu ndiye kijana aliyepoteza maisha kwenye mvutano baina ya police na CHADEMA

Natamani hii nchi TUPIGANE VITA kati ya askari na wananchi. M.i.ku...nd. yenu polisi wote wa CCM. Muache u.se..ge. wa kushikishwa ukuta na CCM
 
swala la maandamano cyo ombi,ww na woga wa fikra za azimio la arusha endelea nazo,cc tuliokomboka kifikra tutapambana mpaka mwisho mchango wetu ni vigum kuutambua lakn punde utajua nn tulipigania!

Nyie njooni tu, mkiambiwa msifanye maandamano, mkifanya ni mkong'oto tu, halafu pakeni tomato sauce mwaambie dunia mnapigwa.

Huyo kijana mmemuuwa wenyewe msingizie askari, kwani hamjulikani kwa kuchakachuwa?
 
1. waanze kwanza kukufungia wewe JF yani usiingie tena mana mpumbavu na mvivu wa kufikili mtumzima ovyoooooooo
2. i wakufungi kwanza pumzi ufe tu mana unatupa kichefu chefu humu JF ovyoooooooooooo!!! ohoooooooooo natapika jamani mtoeni huyu mtu aaaaaaaaaaaaaaa.
 
msukule baba yako uliyemuweka ndani ili upate utajiri, kwanza wana JF hatujui we **** nini
 
t
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.

Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!

Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.

TELL MY PEOPLE MY BLOOD WILL NOURISH THE TREE WHICH WILL BEAR THE FRUITS OF FREEDOM WHICH WILL LAST FOR GENERATIONS``SOLMON MAHULANGU'' THIS IS WHAT IS GOING TO HAPPEN FOR THOSE WHO ARE LOOSING THEIR LIFE FIGHTING FOR FREEDOM ,TRUE FREEDOM IS FEW KILOETRS TO COME THOUGH I DIE TODAY I HAVE NO REGRETS
 
DUDU JEUSI
CHADEMA ni janga la kitaifa!

Mkuu, Mi nadhani Polisi ni janga la Kitaifa. Imeelezwa kwamba baadaye maandamano yalisindikizwa na Polisi haohao. Na wale wananchi wanaotwangwa risasi kila kukicha huko migodini nao wanaandamana? Mimi nina wasiwasi na mipango ya Serikali ya kuwataka Polisi (ambalo ni Jeshi la kulinda Raia kikatiba) kuwaua raia kwa kisingizio cha kutotii amri halali ya Jeshi la Polisi. Hata kama raia anafanya fujo, polisi haruhusiwi kumwua bali anapaswa kumuwahi na kumtia pingu na kumshitaki mahakamani. Polisi akiua raia ambaye amapaswa kumlinda itabidi ahojiwe na kutoa ushahidi kwamba aliyeuawa alikuwa anakaidi na pia alikuwa mtu wa hatari na kwamba yeye polisi alimuua kwa kujilinda. Siyo polisi wetu wanavyofanya. Hilo moja. La pili ni tatizo linaloweza kuwapata polisi wenyewe kwa kujenga ushoga na walio madarakani. Jeshi la polisi likijenga chuki na raia na bado tunapanga nao uraiani wanaweza wasiwe salama huko uraiani - Mungu apishie mbali tusifike huko - visasi vinaweza kuhamia huko uraiani wanakopanga. Tulishasikia kwamba polisi alipigwa nondo na kufa Mbeya ingawa katika mazingira yasiyo ya maandamano. Na msemo uliozagaa kwamba "kwenda polisi bure, kutoka, hadi pesa" kunafanya zana ya "polisi shirikishi" iwe upuuzi usio na mfano. Hivi kwa nini dhana ya polisi jamii isitumiwe na polisi katika ulinzi hata wa maandamano ya CDM au hata CCM wanapounga mkono au kupinga misimamo ya serikali kuhusu jambo fulani? Mtindo ambao serikali inatumia haufai kwa sababu ni wa "police state" ambao si wa kidemokrasia. Wawaulize "makaburu" wa kwa "Madiba" na marafuku ya mikusanyiko kule Soweto. Watu wakichoka, huwezi kuwadanganya kwa sababu tu aliyeko madarakani ni "mweusi" mwenzetu na yuko madarakani "kikatiba" kwa hiyo anaruhusiwa tututwanga risasi ovyo ovyo kwa vile tunaandamana na yeye hataki. Fujo itaanzia hapo! Mifano ipo mingi. Kuna nchi jirani mtu ilibidi aapishwe chapu chapu usiku wa manane kukwepa balaa lakini wapi - hadi tume ya usuluhisho - na baadaye hadi Ocampo!
 
Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea,mapinduzi ya damu huzaa haki. Luther king steven biko sohlomon mahlangu malcom x che guavarra ongezea list. RI..P ALI sote ni njia yetu hiyo tunakuja kwa staili tofauti.Damu yako ni wino UTAKAOANDIKA SAHIHI YA kiapo cha M4C hapo 2015 tunapokabidhiwa kuingia magogoni.
 
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.

Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!

Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.

Kamwambie mama yako maneno hayo umeambiwa huyu alikuwa anaandama? Pumbavu zako unafurahi mtu asiyekuwa na hatia kuuliwa na serikali!!!!!!!!!!!!!!!! Huna hta huruma angekuwa mdogo wako ungechongoa domo lako lililooza kwa maneno ya kejeli kama haya??? Muwe wastarabu hata kama mmetumwa na mama zenu
 
Sikulazimishi uamini ninachokiamini!!!!!
Endelea kuabudu unachokiamini na mm ntaamini ninachokiamini mkuu.

kwa hiyo unaamini ktk matusi na kushabikia mauaji...ama kweli utumwa ni zaidi ya kifo..jambo mmoja nakuomba uliwekee kumbukumbu nalo ni kwamba Mtanzania mwenzetu ndg Ally Zona historia ya nchi hii itamwandika hadi mwisho wa dunia.anaingia ktk kumbukumbu za watanzania wachache ambao vifo vyao vimelazimishwa na kutekelezwa na WATUMWA wa utawala dhalili (Barbaric Leadership) wa CCM... siku moja na ofcoz si siku nyingi sana zijazo wale wote walioshiriki unyama wa namna hii wata-face justice....Tunaendelea kumuomba Mungu akusaidie kung'amua na hatimae kwa pa moja tuione nuru ya ukombozi kutoka mikononi mwa wakoloni weusi-CCM
 
Kamwambie mama yako maneno hayo umeambiwa huyu alikuwa anaandama? Pumbavu zako unafurahi mtu asiyekuwa na hatia kuuliwa na serikali!!!!!!!!!!!!!!!! Huna hta huruma angekuwa mdogo wako ungechongoa domo lako lililooza kwa maneno ya kejeli kama haya??? Muwe wastarabu hata kama mmetumwa na mama zenu

Kwa hiyo kwa kuwa yeye alikuwa haandamani ndio mkamuuwa?
 
Aliwazalo mjinga ndio litakalomtokea,mapinduzi ya damu huzaa haki. Luther king steven biko sohlomon mahlangu malcom x che guavarra ongezea list. RI..P ALI sote ni njia yetu hiyo tunakuja kwa staili tofauti.Damu yako ni wino UTAKAOANDIKA SAHIHI YA kiapo cha M4C hapo 2015 tunapokabidhiwa kuingia magogoni.

Renaissance imeshtukiwa! Unaleta mfano wa umwagaji damu kwenye nchi ambayo inatawaliwa kwa kura za wengi? hivi wewe unaakili sawasawa?
 
m i m i n i l i k uwa M s amv u n i k i e n d e l e a n a b i a s h a r a , mp a k a s a s a s i j u i n i kwa n i n i p o l i s i wa l i amu a k u n i j e r u h i , s i n a l a k u s ema n amw a c h i a M u n g u , ” a l i s ema V a l i mb a...............Ndugu Valimba acha masuala ya kumuachia Mungu, wakati huo umepita
 
mm si chadema
mm si mtanganyija
lakini nimeaza kupata wasiwasi na mtindo wa hii jamuhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar (TZ) inayotawaliwa na CCM kwa mkono wa chuma jamaa wanaielekeza nchi vitani bila shaka haya mauwaji mateso na vitisho vitalisambaratisha ta
ifa hili soon .kuna haja ya kuiondoa ccm madarakani haraka ...nasema hivi kwa sababu ukitazama kwa makini tz imepoteza muelekeo kila kukicha wanaharakati wanapigwa,kutishwa na kuawa kirahisi rahisi tu.uchumi wa nchi unadidimia matumaini ya watu yanapotea,watawala hwataki kuachia madaraka.......what is next
taifa linateketea jamaniiiii zidukeniiiii
 
kwa vyovyote vile mauwaji ya mtindo huu hayakubaliki
(unacceptable) katika jamii ni ukandamizaji ,ushezi,na wahusika lazima kuchukuliwa hatua haraka ili tukomeshe mauwaji ya kiholela ya raiya yanayofanywa na vyombo vya dola nyenginevyo tusije mtafuta mchawi huko mbelee
 
Back
Top Bottom