Sera ya kifree mason hiyo, yaani damu yake ndo ikuwezeshe wewe kutawala? kweli hawa ni free mason wenye sera za kuzimu. Duh! tuwaepukeni jamani.
Hiyo exposure unayoongelea ya kuandamana morogoro na kuua watu wasiokuwa na hatia kwa kusingizia police?Exposure ni kitu muhimu sana jamani. Jitahidi hata kwa kupitia mtandao kama nauli inasumbua
Kwa hiyo ndiyo hukumu ya kuandamana ambayo raia anastahiliMnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.
Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!
Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.
na ndo maana huna uwezo utabaki kuwa kivuli kinachoishiAma kweli CHADEMA ilaaniwe maana ni janga la kitaifa,sasa kama kamanda aliagiza maandamano no why wao CHADEMA walazimishe maandamano?ningekua na uwezo ili lichama ningelifuta kabisaaaaaa!
janga la kitaifa ni chama chenu cha mafisadi wanaacha wananchi wakitaabika wakati wao wamejilimbikizia mali.wezi wakubwaCHADEMA ni janga la kitaifa!
Kwa hiyo ndiyo hukumu ya kuandamana ambayo raia anastahili
Mh, jamani mbona mnaleta mambo kama ya kwetu Congo?
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.
Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!
Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.