Huyu ndiye kijana aliyepoteza maisha kwenye mvutano baina ya police na CHADEMA


Police Brutality... CCM cannot be dehumanized... do they own the country?
 
"Wao wana majeshi na silaha nzito sie tuna mungu,wao wamejifunza kuua sie tunajifunza kufa"--Peopleessssssssssssssssss!!

Huyo Mungu wenu mbaguzi, kila siku wanakufa watoto wa maskini huku wanaowachochea wanaendelea kupumua bila kikwazo.
 
538925_317878604944728_1755479505_n.jpg
 
Mtuhumiwa namba moja wa haya mauaji ya kinyama ya kupiga risasi watu wasiokuwa na hatia ni Nape Nnauye.

Yeye alianza kupanga mipango hiyo zaidi ya wiki moja iliyopita, alidai kuwa CHADEMA wameandaa watu kwenda kufanya fujo na kuuwa watu kwenye mkutano wao(Chadema) huko Morogoro, jambo ambalo hata mtoto wa chekechea hawezi kuliamini labda wale mataahira tu.

Ni dhahiri kuwa huu ni mpango mahsusi wa kukichafua CHADEMA,kwani hata polisi wenyewe wanaanza kujichanganya kuwa risasi hiyo haikufyatuliwa na polisi, sasa kama siyo polisi walioua basi ni vijana wa Nape na Mwigulu ndiyo waliofanya mauaji hayo.

ALAANIWE NAPE,ILAANIWE CCM,ILAANIWE TISS NA LILAANIWE JESHI LA POLISI BILA KUSAHAU MFADHILI MKUBWA WA UVURUGAJI WA MIKUTANO YA CHADEMA HUKO MOROGORO MBUNGE WA MOROGORO MJINI.
 
Maandamano yawe yanapita karibu na makazi ya polisi.. Wakianza kupiga mahali pa kukimbilia iwe ni kota zao!!... Tuone kama wataua watoto wao na wake zao kuifurahisha CCM!...
 
“Nakwambia Kamanda Shilogile, damu ya Watanzania haitamwagika bure, ipo siku tutakufuata ulipo, iwe umevaa unifomu au kiraia, tutakusimamisha mbele ya wananchi, ili ujibu kile ambacho umekifanya leo,” alisema Lissu.
Nimeipenda sana kauli hii ya Lissu. Ni kauli ya dhati na watawala wote walijue hili laja
 
Maandamano yawe yanapita karibu na makazi ya polisi.. Wakianza kupiga mahali pa kukimbilia iwe ni kota zao!!... Tuone kama wataua watoto wao na wake zao kuifurahisha CCM!...

Mkuu unamaanisha wapite karibu na magofu wanayoishi wao na familia zao? Maana umaskini walio nao umewafanya wamekuwa wajinga kiasi cha kufanya lolote for the sake of Magamba.
 
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.

Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!

Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.

Labda kwa mtindo huo watapunguza kushiriki maandamano ya kipuuzi, watu wameshambiwa mandamano yamezuiwa bado unajipeleka kimbelembele af viongozi wenyewe wapo kwenye magari.
 
Mnaambiwa msifanye maandamano mnang'ang'ania, ona sasa, mnapoteza roho za watu kwa ubishi wenu.

Mkiulizwa maandamano ya nini? hamjui!

Hiki chama kifungiwe tu, hakina mwisho wa amani.

swala la maandamano cyo ombi,ww na woga wa fikra za azimio la arusha endelea nazo,cc tuliokomboka kifikra tutapambana mpaka mwisho mchango wetu ni vigum kuutambua lakn punde utajua nn tulipigania!
 
Ama kweli CHADEMA ilaaniwe maana ni janga la kitaifa,sasa kama kamanda aliagiza maandamano no why wao CHADEMA walazimishe maandamano?ningekua na uwezo ili lichama ningelifuta kabisaaaaaa!

Hebu ni convince basi bro... Hebu soma sababu za kuzuia maanadamano (haki ya kikatiba ya mtanzania) zilizotolewa na huyo kamanda.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom