Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,059
Dk Slaa ndiye mfano wa kuigwaeace:mara nyingi viongozi wan chadema wanaibuka na vitu used
Dk Slaa ndiye mfano wa kuigwaeace:mara nyingi viongozi wan chadema wanaibuka na vitu used
kwani rejao wewe ni brand new?Dk Slaa ndiye mfano wa kuigwaeace:
kwani rejao wewe ni brand new?
<br />used+used=?????????
hata mimi nina case kama iyo kumbe ndoa za kikristo zinavunjika unafunga tena?Hapa mimi najionea miujiza na kidhungudhungu tu! naomba wana zuoni wa mambo haya ya ndoa watujuze ndoa za kikristu siku hizi zinavunjwa na kufungwa mpya? kama imekuwa hivyo nitashukuru nami kuna mtu kaoa demu wangu nikiwa safari ya mbali baada ya kudanganywa eti nimefungwa kifungo cha maisha huko niliko kuwa! sasa tunatafuuta mbinu ya kuivunja tunashindwa kwa sababu ni ya kikristu.
Kama inawezekana nijuze wandugu.
mjini hapa kila kitu kinawezekana bwana lakini sio fair bwana ila huyo brother analipa kweli. hawa chadema wakichukua nchi watahalalisha kuchumbia na kuoa yeyote nadhani kwenye sera kuna kupanua wigo wa kuchumbia nchini.hapo pagumu kujibu... lakini siwezi kuwa na kitu ambacho ameshalalishiwa mwanaume mwingine halafu namimi tena nije kuhalalishiwa!!!
Mbona Zitto hajaalikwa?
hapa mimi najionea miujiza na kidhungudhungu tu! Naomba wana zuoni wa mambo haya ya ndoa watujuze ndoa za kikristu siku hizi zinavunjwa na kufungwa mpya? Kama imekuwa hivyo nitashukuru nami kuna mtu kaoa demu wangu nikiwa safari ya mbali baada ya kudanganywa eti nimefungwa kifungo cha maisha huko niliko kuwa! Sasa tunatafuuta mbinu ya kuivunja tunashindwa kwa sababu ni ya kikristu.
Kama inawezekana nijuze wandugu.
Thanks, so how comes mkataba wa kanisani unaodai ni mke mmoja na mume mmoja hadi kifo sasa umevunjwa na kuruhusiwa kufungwa kwa ndoa nyingine?? Au hii ndoa haina cheti kama ile ya kanisani? I get confused here
Hiyo haina chama wewe.mara nyingi viongozi wan chadema wanaibuka na vitu used
Duu! mkuu umenivunja mbavu!....anyway pole sana kwa maswahiba yaliyokukuta!Hapa mimi najionea miujiza na kidhungudhungu tu! naomba wana zuoni wa mambo haya ya ndoa watujuze ndoa za kikristu siku hizi zinavunjwa na kufungwa mpya? kama imekuwa hivyo nitashukuru nami kuna mtu kaoa demu wangu nikiwa safari ya mbali baada ya kudanganywa eti nimefungwa kifungo cha maisha huko niliko kuwa! sasa tunatafuuta mbinu ya kuivunja tunashindwa kwa sababu ni ya kikristu.
Kama inawezekana nijuze wandugu.
Kwa wanaojua, hii ndo imefungiwa wapi? Kanisani au Bomani kwa DC? na il;e ndoa yake ya kwanza na DJ Nelly wa clouds ilifungiwa wapi? Kanisani au kwa DC?
Unajua wanaume wengi awajui umuhimu wa mwanamke mpaka pale mzigo unapoenda kwaheri ya kuoana nimeona kwa kakayangu sisemi kumsifia huyo ddada anijui simjui same to mumewe huyu kaka tulichanga michango mingi sana waakti wa ndoa yake akafunga na huyu dada ..kilichomtatiza kwao wako 5 yeye wa nne na akuna aliewahi kuoa moaka leo wanazeeka kwa kuzaliana majumban wanawake na wanaume kuleta wajukuu kwa wazazi,...sasa alipooa akujua kitendo cha kuoa amechokoza nyuki pengine wazee wa nyuma waliwasemehea wazazi wao ..watoto wao awataoa wala kuolewa alipooa akaanza kumchapa makofi ovyo mwanamke amerudi saa kuminambili anamuuliza kwanini umechelewa mbaya huyu mwanaumeanapita pale faya saa kuminanusu akienda nyumban mkewe anatoka kuminamoja ameshindwa kusubiri nusu saa
ikafika wakati mkee akaweka vikao kadhaa akasema basi..kama mungu akupenda aakaenda kuwamwagia wazee wake wajukuu inarudi ile ile akaanza leo hii ni mbunge wa vitimaalum katika chama kimoja cha siasa yuko na mumewe wametulia wanakula kuku ..aliposiksia hivyo akaanza kutafuta namba ya mumewe bnakuanza kuwasumbua bahati wanaufahamu mkubwa wakampuuzia mi na yeye atuongei kwa ajili ya upuuzi wake..so sisemi vbaya ila pengine dj nerry sasa ndio anajua umuhimu wa huyu mwanmke na atajua zaidi pale anapoendelea kufanikiwa ...
Nawatakia maisha mema wanaharusi nimeipenda harusi yenu na soon ntaozesha watoto ndan ya magwanda kwakweli
umelewa?unajua wanaume wengi awajui umuhimu wa mwanamke mpaka pale mzigo unapoenda kwaheri ya kuoana nimeona kwa kakayangu sisemi kumsifia huyo ddada anijui simjui same to mumewe huyu kaka tulichanga michango mingi sana waakti wa ndoa yake akafunga na huyu dada ..kilichomtatiza kwao wako 5 yeye wa nne na akuna aliewahi kuoa moaka leo wanazeeka kwa kuzaliana majumban wanawake na wanaume kuleta wajukuu kwa wazazi,...sasa alipooa akujua kitendo cha kuoa amechokoza nyuki pengine wazee wa nyuma waliwasemehea wazazi wao ..watoto wao awataoa wala kuolewa alipooa akaanza kumchapa makofi ovyo mwanamke amerudi saa kuminambili anamuuliza kwanini umechelewa mbaya huyu mwanaumeanapita pale faya saa kuminanusu akienda nyumban mkewe anatoka kuminamoja ameshindwa kusubiri nusu saa
ikafika wakati mkee akaweka vikao kadhaa akasema basi..kama mungu akupenda aakaenda kuwamwagia wazee wake wajukuu inarudi ile ile akaanza leo hii ni mbunge wa vitimaalum katika chama kimoja cha siasa yuko na mumewe wametulia wanakula kuku ..aliposiksia hivyo akaanza kutafuta namba ya mumewe bnakuanza kuwasumbua bahati wanaufahamu mkubwa wakampuuzia mi na yeye atuongei kwa ajili ya upuuzi wake..so sisemi vbaya ila pengine dj nerry sasa ndio anajua umuhimu wa huyu mwanmke na atajua zaidi pale anapoendelea kufanikiwa ...
Nawatakia maisha mema wanaharusi nimeipenda harusi yenu na soon ntaozesha watoto ndan ya magwanda kwakweli