Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,760
35,205
Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

images (7).jpeg

images (8).jpeg

images (9).jpeg

Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kile kinachotokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba huyaacha mahusiano yavunjike hivihivi. Huwa anapambana lakini sababu hamna anachoweza kubadili hishia kuvunjika moyo, kuugulia hadi anapoibuka tena na kitu kipya

Achilia mbali mateso aliyosema aliyapata hadi kuachana na mumewe wa kwanza yule DJ Nelly, Joyce ameonekana kuwa mwanamama mkweli na muwazi anapokuwa kwenye mahusiano na hata pale yanapovunjika.

Haijalishi nini itakua hatma ya mahusiano yake ila Joyce ni aina ya wale wanawake ambao akipendwa anataka ulimwengu wote ujue kwamba anapendwa na amepata mtu sahihi kwa wakati ule na ana furaha.
Nakumbuka wakati siasa za chadema zimeshika kasi Tanzania aliyekua mume wa Joyce Henry Kileo akawekwa ndani Joyce alivyopambana kumnusuru, tena akiwa na watoto wadogo.

Hata kwenye kampeni za ubunge kule Mwanga Joyce alipambana kwelikweli kumsaidia mumewe

Baadae Joyce alitumbukiwa nyongo baada ya kugundua pamoja na yote yale aliyokua anayafanya Kileo alikua akimsaliti kwa kuwa na wanawake ndani ya chama chao huku akiwa mkali kwa mkewe, kuacha kufanya majukumu ya kutunza familia na kumpa kipigo pale alipokuwa anaulizwa.

Tangu ameachana na Kileo amekua kimya sana ila sasa amekuja na kitu kipya, anaonekana mwenye furaha na shemela ameweza kuyafuta maumivu yote na upweke aliokua anapitia Joyce. Kikubwa zaidi amebeba watoto wa Joyce kama wa kwake

Mimi binafsi nawatakia Joyce na Aaron furaha ya milele kwenye mahusiano yao

Hatimaye watoto wa baba mzazi Kileo wamepata baba mlezi.

Haki wababa nyie mna kila sababu ya kupambana ili muwalee watoto wenu.... Ndoa isingevunjika Kileo angekua anawalea watoto wake

Mungu sadia wadumu maana Likitokea la baya watakaoathirika sio wao tuu, hata watoto wao wataumia
 
Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

View attachment 2061640
View attachment 2061641
View attachment 2061642
Joyce anaonekana mwanamke anayejali sana pale anapopenda, ila huwa kinatokea baadae huwa nje uwezo wake. Sababu ya uwazi wake Mahusiano yanapoanza kuyumba huwa hakuna siri. Na sio kwamba huyaacha mahusiano yavunjike hivihivi. Huwa anapambana lakini sababu hamna anachoweza kubadili hishia kuvunjika moyo, kuugulia hadi anapoibuka tena na kitu kipya

Achilia mbali mateso aliyosema aliyapata hadi kuachana na mumewe wa kwanza yule DJ Nelly, Joyce ameonekana kuwa mwanamama mkweli na muwazi anapokuwa kwenye mahusiano na hata pale yanapovunjika.

Haijalishi nini itakua hatma ya mahusiano yake ila Joyce ni aina ya wale wanawake ambao akipendwa anataka ulimwengu wote ujue kwamba anapendwa na amepata mtu sahihi kwa wakati ule na ana furaha.
Nakumbuka wakati siasa za chadema zimeshika kasi Tanzania aliyekua mume wa Joyce Henry Kileo akawekwa ndani Joyce alivyopambana kumnusuru, tena akiwa na watoto wadogo.

Hata kwenye kampeni za ubunge kule Mwanga Joyce alipambana kwelikweli kumsaidia mumewe

Baadae Joyce alitumbukiwa nyongo baada ya kugundua pamoja na yote yale aliyokua anayafanya Kileo alikua akimsaliti kwa kuwa na wanawake ndani ya chama chao huku akiwa mkali kwa mkewe, kuacha kufanya majukumu ya kutunza familia na kumpa kipigo pale alipokuwa anaulizwa.

Tangu ameachana na Kileo amekua kimya sana ila sasa amekuja na kitu kipya, anaonekana mwenye furaha na shemela ameweza kuyafuta maumivu yote na upweke aliokua anapitia Joyce. Kikubwa zaidi amebeba watoto wa Joyce kama wa kwake

Mimi binafsi nawatakia Joyce na Aaron furaha ya milele kwenye mahusiano yao
Hiyo ni furaha ya kuigiza tu, hapo anataka ulimwengu ujue amepata mtu sahihi zaidi ya X wake.
 
KwaHyo aNAtafuta mwanaume mwaminifu.Asubiri muda utaamua
 
NI KWAMBA TANGU KUWAPO KWA ULIMWENGU, MWANAUME HAJAWAI KUWA ADUI KWA MWANAMKE.
MWNAMKE KUOLEWA HAINA MAANA YEYE NI MTAKATIFU, NA KWAMBA MAPUNGUFU YAKE NI KWA SBB NI DHAIFU AU MNYONGE. HAPA MWANAUME HANA HAKI YA KUYASEMA YA MKE WAKE

MWANAUME YEYE KUOA MAANA YAKE ANATAKIWA KUWA MTAKATIFU HAPASWI KUKOSEA, NA AKIKOSEA ANA HAKI YA KUSEMWA HADHARANI NA MKE WAKE. NDIO HIZIA HABARI ZA KUNYANYASWA, KUTESWA, KUDHARIRISHWA. NK

WATU WA JAMII HIZI NI WALE WATU WALIO LELEWA KATIKA MAISHA YA UDUME DUME, UJERI, KIBURI, DHARAU NA MASHINDANO.NA KILA VITA LAZIMA APIGANE NA NDIVYO WALIVYO ANDALIWA. WATU WA HIVI SIO RAHISI KUISHI NA MWANAUME WA AINA YOYOTE HATA WAO WANAJUA HILO.

UKIANZISHA MAHUSIANO NAO UTAJIONA MALAIKA.NA HAPA NDIPO WANAUME WENGI WANAPO ANGUKIA KWA SBB WANAWAKE WA HIVI NI RAHISI KUJIUZA...AWALI ATAONEKANA ANAJALI SANA, ANANYENYEKESA SANA, MSHAURI MZURI, ANAPENDA NDUGU ZA HUKO KWENU, UKIKWAMA KIFEDHA ATAKUSAIDIA . SASA INGIA KWENYE MTEGO WA NDOA!!!

HUYU NAYE YA KWAKE YATAKUJA HADHARANI MUDA SI MREFU. NI SUALA LA MUDA
 
NI KWAMBA TANGU KUWAPO KWA ULIMWENGU, MWANAUME HAJAWAI KUWA ADUI KWA MWANAMKE.
MWNAMKE KUOLEWA HAINA MAANA YEYE NI MTAKATIFU, NA KWAMBA MAPUNGUFU YAKE NI KWA SBB NI DHAIFU AU MNYONGE. HAPA MWANAUME HANA HAKI YA KUYASEMA YA MKE WAKE

MWANAUME YEYE KUOA MAANA YAKE YEYE NI MTAKATIFU HAPASWI KUKOSEA, NA AKIKOSEA ANA HAKI YA KUSEMWA HADHARANI NA KE WAKE. NDIO HIZIA HABARI ZA KUNYANYASWA, KUTESWA, KUDHARIRISHWA. ZAIDI NI HISIA NA HAKUNA UHALISIA

WATU WA JAMII HIZI NI WALE WATU WALIO LELEWA KATIKA MAISHA YA UDUME DUME, UJERI, KIBURI, DHARAU NA MASHINDANO.NA KILA VITA LAZIMA APIGANE NAAM NDIVYO WALIVYO ANDALIWA. WATU WA HIVI SIO RAHISI KUISHI NA MWANAUME WA AINA YOYOTE. HAPA NDIPO WANAUME WENGI WANAPO ANGUKIA KWA SBB WANAWAKE WA HIVI NI RAHISI KUJIUZA...MWANZO ATAONEKANA ANAJALI SANA, ANANYENYEKESA SANA, MSHAURI MZURI, ANAPENDA NDUGU ZA HUKO KWENU, UKIKWAMA KIFEDHA ATAKUSAIDIA . SASA INGIA KWENYE MTEGO WA NDOA!!!

HUYU NAYE YA KWAKE YATAKUJA HADHARANI MUDA SI MREFU. NI SUALA LA MUDA

Yakitokea mabaya kwa Joyce kuna wale watoto wataumia na kuathirika sana katika makuzi yao

Tuwatakie heri wala tusiwaombee mabaya
 
Back
Top Bottom