Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

HUYU ANKASORO GAN? WE UKISEMA WA NINI MWENZIO HALALI ANAMUWAZA ATAMPATAJE!! KIPENDA ROHO HULA HATA MABOX
Huyu mwanamke unamfahamu vizuri?
Unajua maisha yake?
Sioni cha ajabu kwani hata Slaa alifanya hivyo hivyo!

Kwa wale wote wanaolalama: mlikuwa mnataka ni waoe nyie? katika maisha kila mtu ataishi na ampendae ilimradi atie na kufuata taratibu za kisheria sambamba na kimila......... bila kuathiri uhuru wa mtu......

11.jpg

Mbunge wangu wa Ubungo akiwa amepozi na maharusi

n.jpg

Mpiganaji Lema

DSC_5707.jpg

Kama kawa ulikuwa mwendo wa kombati jeusi

5.jpg

Mwenzangu pokea pete hii.

Kwa hisani ya Mithupu.

Hongera kamanda Lema, my wife wako ametulia kweliiiiiiiiiiiiiiiii

Muhimu katika maisha ya ndoa ni furaha na uaminifu. Kama ndoa ya kwanza haikumpa furaha na utulivu wa moyo, ni uamuzi wake kaamua kutafuta furaha hiyo sehemu nyingine tena bila kificho. Mlitaka augue na kufa kwa msongo wa mawazo kama 'Mwanasiasa aliyeanza na utangazaji' kwa kuilinda ndoa isiyolindika kisa ni 'public figure'. Hongera Joyce kwa kufanya maamuzi kwa ajili ya furaha yako.

Unajua wanaume wengi awajui umuhimu wa mwanamke mpaka pale mzigo unapoenda kwaheri ya kuoana nimeona kwa kakayangu sisemi kumsifia huyo ddada anijui simjui same to mumewe huyu kaka tulichanga michango mingi sana waakti wa ndoa yake akafunga na huyu dada ..kilichomtatiza kwao wako 5 yeye wa nne na akuna aliewahi kuoa moaka leo wanazeeka kwa kuzaliana majumban wanawake na wanaume kuleta wajukuu kwa wazazi,...sasa alipooa akujua kitendo cha kuoa amechokoza nyuki pengine wazee wa nyuma waliwasemehea wazazi wao ..watoto wao awataoa wala kuolewa alipooa akaanza kumchapa makofi ovyo mwanamke amerudi saa kuminambili anamuuliza kwanini umechelewa mbaya huyu mwanaumeanapita pale faya saa kuminanusu akienda nyumban mkewe anatoka kuminamoja ameshindwa kusubiri nusu saa

ikafika wakati mkee akaweka vikao kadhaa akasema basi..kama mungu akupenda aakaenda kuwamwagia wazee wake wajukuu inarudi ile ile akaanza leo hii ni mbunge wa vitimaalum katika chama kimoja cha siasa yuko na mumewe wametulia wanakula kuku ..aliposiksia hivyo akaanza kutafuta namba ya mumewe bnakuanza kuwasumbua bahati wanaufahamu mkubwa wakampuuzia mi na yeye atuongei kwa ajili ya upuuzi wake..so sisemi vbaya ila pengine dj nerry sasa ndio anajua umuhimu wa huyu mwanmke na atajua zaidi pale anapoendelea kufanikiwa ...

Nawatakia maisha mema wanaharusi nimeipenda harusi yenu na soon ntaozesha watoto ndan ya magwanda kwakweli

ummm...ok u are saying? Maana hata nimerudia ulichoandka mara 10 cjaelewa!

Kwa wale wote wanaolalama: mlikuwa mnataka ni waoe nyie? katika maisha kila mtu ataishi na ampendae ilimradi atie na kufuata taratibu za kisheria sambamba na kimila......... bila kuathiri uhuru wa mtu......

Kama kweli wewe ni kilewo, mwanaume wa ukweli habishani! hvi utajibu wangapi? yani ww kila anaekusema vibaya unamjibu....dah ni life lako binafsi lakin unaharibu pia image ya chama langu (CDM)...pls stop that man

Ushauri mzuri sana

never say never be postive

kazidisha wapi hao wanaume!! kwani kuolewa kitu kibaya!! ehe makubwa ...yuko poa sana kuolewa hata mara mbili sio tatizo.Huwezi jua ndoa ya kwanza nani aliiharibu!!

Back
Top Bottom