Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Huyo mrembo yupo ndoa ya ngapi?
Ye ni mwendo wa kuolewa tu

Mwanamke wa vile ni ngumu sana kuishi nae
Ujue ndoa zetu ni kama utawala flani hivi sasa mwanaume ni ngumu sana kuishi na mwanamke mjuaji kiasi kile vinginevyo utaishi nae kinyonge sana
 
Cha kusikitisha zaidi hapa ni CHADEMA kujihusisha na huyu mtu. Afya yake kichwani ina walakini, his character stinks, na mengineyo mengi. Kina Mbowe waliona nini kwa huyu jamaa hadi kuwa karibu naye?
 
Cha kusikitisha zaidi hapa ni CHADEMA kujihusisha na huyu mtu. Afya yake kichwani ina walakini, his character stinks, na mengineyo mengi. Kina Mbowe waliona nini kwa huyu jamaa hadi kuwa karibu naye?
Mambo yao tuwaachie wenyewe 🤣
 
Back
Top Bottom