Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

Ettore Bugatti

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
4,125
8,231
Wakuu,

Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na kuwashauri ujinga mabinti zetu na wanawake walio katika unyoofu wa maadili.

Nashauri wanaume mnaojielewa Huyu ni aina ya wanawake wakuwakwepa kama ukoma linapokuja suala la ndoa au mahusiano ya muda mrefu.

Screenshot_20220531-190200.png

Mtakuja kunishkuru.
 
View attachment 2246071

Mtakuja kunishkuru.
Huyu ndiyo alikuwa beki tatu?
 
Huyo mashabiki zake ni wanawake ambao ndoa zimewashinda sasa huwa wanakutana kwa page yake kutengeneza ushawishi kwa kila mwanamke kuwa ndoa ni kitu kibaya na kwamba wanaume ni wanyanyasaji hata akikugombeza kidogo usikubali dai talaka ni dalili ya ukatili😄 machoni wanajidai ma superwoman ila usiku wanalia na kujutia wanayo pitia
 
Wakuu,

Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na kuwashauri ujinga mabinti zetu na wanawake walio katika unyoofu wa maadili.

Nashauri wanaume mnaojielewa Huyu ni aina ya wanawake wakuwakwepa kama ukoma linapokuja suala la ndoa au mahusiano ya muda mrefu.

View attachment 2246071

Mtakuja kunishkuru.
Ukiangalia face anatomy ya joyce kiria unaona tu kwamba ana matatizo.

Kuna sura fulani nimeshawahi experience kwamba kuna namna sura zilivyo zinakuwa na matatizo fulani.
 
Wakuu,

Kabla huzuni na majonzi hayajatutoka kufuatia mauaji ya mwanamke mrembo na wa kisasa kuuwawa na mumewe huko Mwanza, mtajwa hapo juu bibie Joyce Kiria anazidi kupigilia 'msumali' na kuwashauri ujinga mabinti zetu na wanawake walio katika unyoofu wa maadili.

Nashauri wanaume mnaojielewa Huyu ni aina ya wanawake wakuwakwepa kama ukoma linapokuja suala la ndoa au mahusiano ya muda mrefu.

View attachment 2246071

Mtakuja kunishkuru.
Kiki zisizokuwa na uhalisia. Wanaongeaga tu ili wapate attention, ila maisha Yao yanatia hudhuni.

Ikitokea wanahitaji misaada ndo utajua level zao ni zipi
 
Huyu feminist kaanza kitambo sana 'utoto' wake.
Ni mmoja wa watu wanaosababisha wanawake kuuliwa vifo vibaya sababu ya ushauri wake wa kipuuzi puuzi!
 
Kuna dem nilikua na-date nae, ilikua inakaribia kidogo nifanye maamuzi ya kumuoa. Siku nilipogundua anam-follow Joyce Kiria na kushabikia post zake ndio nikampiga chini mazima... Mpaka sasa hajui kwann nilimuacha! Nashukuru Mungu kaniepusha na lile balaa...
 
Back
Top Bottom