Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.