Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

unajua wanaume wengi awajui umuhimu wa mwanamke mpaka pale mzigo unapoenda kwaheri ya kuoana nimeona kwa kakayangu sisemi kumsifia huyo ddada anijui simjui same to mumewe huyu kaka tulichanga michango mingi sana waakti wa ndoa yake akafunga na huyu dada ..kilichomtatiza kwao wako 5 yeye wa nne na akuna aliewahi kuoa moaka leo wanazeeka kwa kuzaliana majumban wanawake na wanaume kuleta wajukuu kwa wazazi,...sasa alipooa akujua kitendo cha kuoa amechokoza nyuki pengine wazee wa nyuma waliwasemehea wazazi wao ..watoto wao awataoa wala kuolewa alipooa akaanza kumchapa makofi ovyo mwanamke amerudi saa kuminambili anamuuliza kwanini umechelewa mbaya huyu mwanaumeanapita pale faya saa kuminanusu akienda nyumban mkewe anatoka kuminamoja ameshindwa kusubiri nusu saa
ikafika wakati mkee akaweka vikao kadhaa akasema basi..kama mungu akupenda aakaenda kuwamwagia wazee wake wajukuu inarudi ile ile akaanza leo hii ni mbunge wa vitimaalum katika chama kimoja cha siasa yuko na mumewe wametulia wanakula kuku ..aliposiksia hivyo akaanza kutafuta namba ya mumewe bnakuanza kuwasumbua bahati wanaufahamu mkubwa wakampuuzia mi na yeye atuongei kwa ajili ya upuuzi wake..so sisemi vbaya ila pengine dj nerry sasa ndio anajua umuhimu wa huyu mwanmke na atajua zaidi pale anapoendelea kufanikiwa ...

Nawatakia maisha mema wanaharusi nimeipenda harusi yenu na soon ntaozesha watoto ndan ya magwanda kwakweli

sijakuelewa kabisa
 
<br />
<br />
Duh! The bridegroom has a face like a bull chewing wasps. I am wondering how Joyce got to fall in love with such a somber visaged dude. Now I have to start to hold to a notion '' love is blind''

Wewe labda ungetuonyesha picha za ndugu zako wote tuone kama kweli wana sura nzuri. Acha kujitafutia laana kwa kudharau kiumbe wa MUNGU. Unatakiwa umwogope mungu na kuacha kutoa kauli za kijinga
 
Unajua wanaume wengi awajui umuhimu wa mwanamke mpaka pale mzigo unapoenda kwaheri ya kuoana nimeona kwa kakayangu sisemi kumsifia huyo ddada anijui simjui same to mumewe huyu kaka tulichanga michango mingi sana waakti wa ndoa yake akafunga na huyu dada ..kilichomtatiza kwao wako 5 yeye wa nne na akuna aliewahi kuoa moaka leo wanazeeka kwa kuzaliana majumban wanawake na wanaume kuleta wajukuu kwa wazazi,...sasa alipooa akujua kitendo cha kuoa amechokoza nyuki pengine wazee wa nyuma waliwasemehea wazazi wao ..watoto wao awataoa wala kuolewa alipooa akaanza kumchapa makofi ovyo mwanamke amerudi saa kuminambili anamuuliza kwanini umechelewa mbaya huyu mwanaumeanapita pale faya saa kuminanusu akienda nyumban mkewe anatoka kuminamoja ameshindwa kusubiri nusu saa
ikafika wakati mkee akaweka vikao kadhaa akasema basi..kama mungu akupenda aakaenda kuwamwagia wazee wake wajukuu inarudi ile ile akaanza leo hii ni mbunge wa vitimaalum katika chama kimoja cha siasa yuko na mumewe wametulia wanakula kuku ..aliposiksia hivyo akaanza kutafuta namba ya mumewe bnakuanza kuwasumbua bahati wanaufahamu mkubwa wakampuuzia mi na yeye atuongei kwa ajili ya upuuzi wake..so sisemi vbaya ila pengine dj nerry sasa ndio anajua umuhimu wa huyu mwanmke na atajua zaidi pale anapoendelea kufanikiwa ...

Nawatakia maisha mema wanaharusi nimeipenda harusi yenu na soon ntaozesha watoto ndan ya magwanda kwakweli

pdidy unaandika huku unakimbia kwenda wapi?........


Nilidhani ni mimi tu ndo sijamuelewa
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Ulitaka uolewe wewe? Nenda nawe ukawe mke wa pili ila inatemeana kama jamaa atakukubali
hahahahahaaa!!
Kwa hiyo, rejao akaolewe yeye sio? Kama jamaa amechagua vibaya mwanamke.
 
Wewe labda ungetuonyesha picha za ndugu zako wote tuone kama kweli wana sura nzuri. Acha kujitafutia laana kwa kudharau kiumbe wa MUNGU. Unatakiwa umwogope mungu na kuacha kutoa kauli za kijinga

msamehe nipe dk 5
 
Wengi wameolewa na machenza ndoa zao wakishindwa kuzitunza.kama bi joyce ataitunza ndoa yake atakuwa usedful
 
Hapa mimi najionea miujiza na kidhungudhungu tu! naomba wana zuoni wa mambo haya ya ndoa watujuze ndoa za kikristu siku hizi zinavunjwa na kufungwa mpya? kama imekuwa hivyo nitashukuru nami kuna mtu kaoa demu wangu nikiwa safari ya mbali baada ya kudanganywa eti nimefungwa kifungo cha maisha huko niliko kuwa! sasa tunatafuuta mbinu ya kuivunja tunashindwa kwa sababu ni ya kikristu.

Kama inawezekana nijuze wandugu.

Ndoa ya kikristo ni ya millele wala mtu hawezi kutenganisha. Mahakama inaweza kuachanisha kwa karatasi lakini kwa Mungu bado ndoa ipo. Ndio maana Joyce hajaweza kufunga ndoa tena kanisani, kaenda kufungia bomani, kwa maana kanisa linajua ndoa bado ipo.
 
hata mimi nina case kama iyo kumbe ndoa za kikristo zinavunjika unafunga tena?
Nashauri bebii tutafutane kwa mjadala zaidi ili kuna tutajinasuaje nasi tupate kuwa mahala tulipopakusudia awali au wasemaje?
 
Ndoa ya kikristo ni ya millele wala mtu hawezi kutenganisha. Mahakama inaweza kuachanisha kwa karatasi lakini kwa Mungu bado ndoa ipo. Ndio maana Joyce hajaweza kufunga ndoa tena kanisani, kaenda kufungia bomani, kwa maana kanisa linajua ndoa bado ipo.
Hapa Sista Sophia bwana umekuja na mpya kabisa! hawa watu physically are legalyl married, ideally wanakuwa katika upande huo ulioutaja wewe, but what matters ni kwamba wanafurahia maisha as if nothing happened to them before. Manake ndoa ni vitendo sio mawazo, waweza kukaa na wazo kwamba tumeoana kanisani yule bado ni wangu wakati wenzio wanaongeza idadi ya watoto wa kuzaa wewe unashangaa shangaa tu hapo!

Lakini pia sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua aina ya ndoa 3 kimila, ki dini na ki serikali na ndoa zote ni mali ya serikali hawa wengine wawili ni mawakala wa serikali katika suala hili. Ndio maana hata shaada ya ndoa unayopewa kanisani inakuwa na ngao ya adamu na hawa ambayo ni nembo ya jamhuri ya muhungano Tz.
 
mkuu mulama soma vizuri imekuwaje jamaa akavuta mzigo kirahisi..we omba waachane na yeye aamaue kukufata kama ulikuwa ukimdanganya na kampaata wa ukweliiiiiiiii loh utamsikia ahera dear
Mimi nilidhani ni wengine tu wasiokuelewa kumbe hata mimi sijakuelewa aise!!!
 
Hii ni harusi ya kwanza Joyce aliyofunga na huyo jamaa anaitwa Dj Nelly wa Clouds FM nafikiri harusi hii haikuchukua muda ndio wakaachana

Amefuata mfano wa katibu mkuu, inaonekana huu ni utaratibu wa chama.
 
DSC_5707%255B1%255D.jpg





n%255B1%255D.jpg






11%255B1%255D.jpg





6%255B1%255D.jpg


8%255B1%255D.jpg
 
So sad mkuu kama haya ni ya kweli.

suala ni kwamba hata huyo mume wake wa mwanzo nae amefunga ndoa na mwanamke siku ya jumapili ya juzi hii kama sikosei ni siku moja na joyce au wamepishana siku moja. hata msimlaumu joyce na hakudai talak ili aolewe na mtu mwingine hamjui kitu gan kimetopkea kai yao

pia ukiona ndoa ya kikistro imevunjwa ujue kuna mambo makubwa sana yametokekea kati yao hvo hamuwez jua kulikuwa kuna nini kati yao mpaka wakaachana? maana ndoa ya kikistro mpaka ivunjike ni kazi sana na wengi huishia kutengana tu ila hawa ndoa yao ilivunjwa kabisa na ana haki zote za kuolewa, mlitaka akae bila kuolewa?
 
ndoa ya kwanza alifanya party ya kupokea Talaka sijui hii siku mambo yakipururuka itakuwaje atafanya kitu gani!!!!wanawake wa mjini bana teeeeh teeeeeeeh aaaaah aaaaaah, kwao wao ni fahari kubwa kuolewa tu teeeeh teeeeh aaaaahhhh aaaaahhhh
 
Mnao mponda huyu bibi harusi na huyu chalii, akili zenu zina mvundo wa maendeleo coz kiukweli kila mtu anapaswa kuishi life analotaka nasiyo life unalotaka ama ninalotaka
 
Back
Top Bottom