Katika vijana waliopatia kuoa Bilnas yumo, ndoa yake na Nandy ni mfano wa kuigwa na vijana wa kisasa. Ina win win nyingi sana

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,527
Habari wadau.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo

1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki. Billnass anajua kuandika nyimbo na mke wake nandy anajua kuimba. Wameji complete hapa. Nandy haitaji kumkodi mtu wa kumuandikia nyimbo kama wasanii wa kike wenzake kina ruby ama maua sama wenza wao hawawezi waandikia nyimbo. Zuchu ana bahati yupo lebo kubwa wasafi waandishi wapo wengi wa kumuandikia. Nandy kaipata hii kwa mume wake

2. Family background inayoheshimu ndoa. Nandy anatoka familia inayoheshimu ndoa baba yake na mama yake wapo kwenye ndoa miaka zaidi ya 30 pamoja. Billnass na yeye hivyo hivyo nae anatoka familia inayoheshimu ndoa baba na mama yake wapo kwenye ndoa miaka na miaka.

3. Utafutaji wa pesa... wote billnass na nandy ni watafutaji wa pesa kupitia muziki wao na biashara zao. Kila mtu anajua pesa inavyopatikana kwa shida siamini kama kuna mtu ananyonya jasho la mwenzake.

4. Makazi sehemu moja. Ndoa haina kuishi long distance maana wote wamejiajiri. Mke na mume wote wanaishi nyumba moja.. siku ambazo hawawi pamoja ni safari za kikazi tu.

Tofauti na ndoa za vijana wengi waajiriwa. Mke kaajiriwa Crdb mbeya huku mume kaajiriwa Tanesco mwanza.. kukutana mume na mke ama kukaa pamoja mpaka likizo tu.

5. Urafiki kwenye ndoa. Wote wapo same age. Wana vitu vingi wanafanya pamoja maana wanaendana umri.

6. Unaweza ongezea mwenyewe
 
Kwenye Ndoa nyingi,
Unachokiona nje Ni tofauti na uhalisia ndani ya ndoa, Hasa kwa Watu maarufu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Huu ni mawazo kwa muonekano wa nje.. ndio maama nimeweka factor nilizozipima mimi.

Wewe mume mhasibu. Unaoa mke darasa la saba.. ukichelewa kutoka kazini ukamwambia ukweli kwamba sababu balance sheet ilikuwa haibalance tukawa tunahangaika nayo ugomv unaanza ulikuwa kwa mwajuma kwamba unamdanganya sababu hajui balance sheet ni nini
 
Ukitaka kuujua uhalisia wa ndoa
Subiri watofautiane kila mmoja afunguke

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna wakati wanandoa wanaweza kuonekana wameyapatia sana maisha kwa sababu ndoa yao haijajaribiwa tu.

Kuna najaribu watu wanakutana nayo kwenye maisha ya ndoa kiasi yakiwekwa hadharani kila siku hakuna mtu atakayetaka kuoa tena.

Mbaya zaidi wapo wanaamini cheating ni jaribu linalovunja ndoa nyingi, ukweli ni kwamba cheating ina mchango wa kawaida kabisa kwenye kuharibu ndoa ukilinganisha na mengine
 
Habari wadau.

Kama kichwa cha habari kinavyoeleza billnass amepatia sana kumuoa nandy. Kwa sababu zifuatazo

1. Same Purpose kwenye maisha kati yao billnass na nandy. Wote wana passion na muziki. Billnass anajua kuandika nyimbo na mke wake nandy anajua kuimba. Wameji complete hapa. Nandy haitaji kumkodi mtu wa kumuandikia nyimbo kama wasanii wa kike wenzake kina ruby ama maua sama wenza wao hawawezi waandikia nyimbo. Zuchu ana bahati yupo lebo kubwa wasafi waandishi wapo wengi wa kumuandikia. Nandy kaipata hii kwa mume wake

2. Family background inayoheshimu ndoa. Nandy anatoka familia inayoheshimu ndoa baba yake na mama yake wapo kwenye ndoa miaka zaidi ya 30 pamoja. Billnass na yeye hivyo hivyo nae anatoka familia inayoheshimu ndoa baba na mama yake wapo kwenye ndoa miaka na miaka.

3. Utafutaji wa pesa... wote billnass na nandy ni watafutaji wa pesa kupitia muziki wao na biashara zao. Kila mtu anajua pesa inavyopatikana kwa shida siamini kama kuna mtu ananyonya jasho la mwenzake.

4. Makazi sehemu moja. Ndoa haina kuishi long distance maana wote wamejiajiri. Mke na mume wote wanaishi nyumba moja.. siku ambazo hawawi pamoja ni safari za kikazi tu.

Tofauti na ndoa za vijana wengi waajiriwa. Mke kaajiriwa Crdb mbeya huku mume kaajiriwa Tanesco mwanza.. kukutana mume na mke ama kukaa pamoja mpaka likizo tu.

5. Urafiki kwenye ndoa. Wote wapo same age. Wana vitu vingi wanafanya pamoja maana wanaendana umri.

6. Unaweza ongezea mwenyewe
Don't judge a book by its cover page

AMANI YA NDOA YAO WANAIJUA WAO

Wengi wanaonekana wanaenjoy kumbe wanashida/maumivu Sana kwenye ndoa zao
 
Namba mbili sio kweli, mama yake nandy alikimbia ndoa, akaja Dar Ku tafuta maisha, a kaacha mume Moshi, akachukua watoto,
Usidanganywe na uyaonayo nje, ndoa zina Mambo mengi bro
 
Bill nas alipenda sana kuuza simu ukiachilia mbali na usanii.
Mpaka kuishi south afrika ili apate za dili na kuleta bongo.
Kutokana na kisu chake kutokuwa kikali ila nandy alimpenda jamaa sababu wauza simu wanabahati ya kupendwa na mademu wakali.

Leo unaona ndoto yake imetimia.ila marehemu angekuwepo .sasa hivi angekuwa madiba au anasubiri za bongo abadilishe imei na kuuza
 
Back
Top Bottom