Joyce Kiria kupata Ndoa ya 3? Amtambulisha mpenzi wake

Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
949
1,683
Mtangazaji wa East Africa Tv Joyce Kiria amemtambulisha Mpenzi wake mpya.

Mtangazaji huyo amedai Mpenzi wake huyu mpya ni mchagga na wamefahamiana kabla hajaingia kwenye ndoa zake zote mbili.
Mchagga huyo anaisha Ugaibuni Ulaya Taarifa yake imeeleza

"Jamani msipotoshe watu. Ebu tuelewane hapa. Nilipost siku chache leo Narudia tena sehemu hii ya utambulisho wa shemeji yenu…

Shemeji yenu anaitwa Aaron, ni mtanzania mchaga, ana watoto wawili wa kike 14yrs na 6yrs, ni mtalaka, anaishi Uingereza, tunafahamiana zaidi ya miaka 20 iliyopita, ni kabla kabisa sijaolewa ndoa hata moja… huyu ndo shem wenu wa kwanza, alienda zake kuishi huko majuu akaendelea na maisha yake na mimi nilibaki bongo Naendelea na maisha yangu, tulipokutana this time kila mmoja yuko singo ndo tukatudisha mapenzi yetu MPO?

Haya Kazi Iendelee nawapenda sana

Wana JF ikumbukwe huyu dada alikuwa akihamasisha wanawake wawe huru kwa waume zao na ikiwezekana waachane na mabwana zao kwa Talaka kwakuwa u single mother ni "kuinjoy life"

Ajabu leo amemrudia Ex wa miaka ishirini nyuma.

FB_IMG_1639222543043.jpg
 
Shemeji yenu anaitwa Aaron, ni mtanzania mchaga, ana watoto wawili wa kike 14yrs na 6yrs, ni mtalaka, anaishi Uingereza, tunafahamiana zaidi ya miaka 20 iliyopita, ni kabla kabisa sijaolewa ndoa hata moja… huyu ndo shem wenu wa kwanza, alienda zake kuishi huko majuu akaendelea na maisha yake na mimi nilibaki bongo Naendelea na maisha yangu, tulipokutana this time kila mmoja yuko singo ndo tukatudisha mapenzi yetu
emoji12.png
MPO?
emoji2368.png
huyu mwanamke anachangia watu kuamini ile notion kuwa ma-ex huwa hawaachani kitu ambacho sio sawa anaharibu soko la wenzie
 
Back
Top Bottom