MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,927
- 6,850
Najua watu wengi mtakuwa mmeshtushwa na tittle hapo juu lakini ni challenge kwa wanaCDM na wapenzi wa CDM wote, kama ikitokea hao viongozi vichwa wa CHADEMA wahame wote, Je kweli CDM itasimama? Je watu watajaa tena kwenye mikutano na maandamano ya CDM? Je kutakuwa tena na ujasiri kusema People's power? Au ndio safari ya ukombozi wa 2 wa Tz ndo utakuwa umeishia hapo na 2015 tutaipa tena CCM kura?
Note:
jamani tutafakari kwa makini sub-challenge hiyo na kujichunguza tumejiandaa vipi kwa mabadilko kuelekea 2015 hata kama vikwazo kama hivyo vitatokea katikati mwa safari yetu!
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Shardcole@Tabora1
Relax muungwana, those guys have already sacrificed a lot for this revolution to let it go to the dogs at this juncture; hilo ni sawa na kutarajia Baba mtakatifu Benedict 16 kubadili dini awe mwislamu, hakuna kitu kama hicho, endelea kuongoza mabadiliko kutokea mahali ulipo, manahodha wa meli ya CDM wako imara na hawateteleka kwa lolote.