CHADEMA Msithubutu kusimamisha wagombea Ubunge majimbo ya viongozi hawa maana hamtapita hata jua lisimame

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,301
9,727
Ndugu zangu Watanzania,

Naomba nitumie jukwaa hili kwa siku ya leo kuwapa ukweli CHADEMA japo ni ukweli mchungu unaouma lakini ndio ukweli wenyewe na hauwezi kubadilika wala kubadilishwa. Napenda kuwaambia ya kuwa kuna majimbo hapa Nchini ambayo ningependa kuwaambia CHADEMA ya kuwa wasipoteze muda wala pesa wala nguvu zao wala kujichelewesha kufanya kampeni.

Na hivyo ni bora muda huo wakapeleka kwenye maeneo mengine ambako wataona wanaweza kuambulia chochote. Ni bora hata kuwekeza nguvu kwa majimbo machache na rasilimali zote yaani rasilimali fedha na watu kuweza kupambana kujaribu kupata wabunge kiasi kuliko kuweka na kusimamisha wagombea kila jimbo na mwisho wa siku kukosa kwote kwote.

Leo nitataja Machache na kwa uchache halafu siku nyingine nitawatajia mengine. Sitaki kuwachosa kwa andiko refu bali nataka nitaje machache kwanza halafu mpate muda wa kujitafakari. Hao wachache kwa leo ni kama ifuatavyo na kuwa kama watachukua Fomu na chama kuwasimamisha kupeperusha bendera, basi CHADEMA mkubali kuachana na majimbo hayo.

Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu. Huyu dada yangu napenda kuwaambieni na kuwathibitishia ya kuwa yeye atagombea, hilo nina uhakika nalo na sababu zinajulikana kabisa na zipo wazi kabisa.

Kwa sababu wana Mbeya hawawezi mkubalia asigombee maana wanamtegemea sana na wana mhitaji sana kuliko yeye anavyowahitaji wana mbeya, lakini pia ni Rais wa IPU ambapo nafasi hiyo inamtaka aendelee kuwa Mbunge.

Pili umri wake bado ni mdogo na unamruhusu kuendelea na mchaka mchaka wa kuwatumikia na kuwahudumia wana Mbeya katika nafasi ya ubunge. Mengi nitawachambulia Zaidi wakati mwingine kumhusu yeye hasa katika eneo la uchapa kazi wake na namna alivyogusa na kukonga mioyo ya wana Mbeya,ambao sasa wana tabasamu wakati wote.

- Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Majaliwa.

- Mheshimiwa Dotto Biteko.

- Mheshimiwa Jenista Mhagama.

- Mheshimiwa Ummy Mwalimu.

- Mheshimiwa Innocent Bashungwa

- Mheshimiwa Dkt Mwigulu Nchemba.

- Mheshimiwa Hussein Bashe.

- Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete.

- Mheshimiwa January Makamba.

- Mheshimiwa Dkt Joseph Kasheku Msukuma.

_Mheshimiwa Mohamed Omary Mchengerwa.

_Mheshimiwa Juma Aweso.

Leo naishia hapa kwanza maana nimesema leo sitaki kuwachosha kwa andiko refu, hao waheshimiwa na majimbo yao ningewaomba na kuwaambia ukweli CHADEMA msipoteze muda wenu wala pesa zenu kuweka wagombea maana hamtaambulia kitu chochote kile.

Mtapigwa tu ikiwa hao waheshimiwa wataamua kugombea maana suala la kugombea lipo ndani ya moyo wa mhusika.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
IMG-20240131-WA0026.jpg
img_tmp_tag1705908502140.jpg
 
Andiko lote kumsifia mbunge wa Mbeya.

Inaonekana huijui Mbeya na hujui siasa za huko ...

Uliza kama Bila nguvu za Magufuli Kama huyo Mbunge angeweza kushinda..

Uliza chochote cha maana alicho kifanya Pale Mbeya..

Uliza kwa nn anaomba majimbo Yagawanywe.

Uliza waliopo Mbeya ... wanamuonaje huyo.
 
View attachment 2940805View attachment 2940810
Angalau leo umeoongea ukweli, sio ile habari ya Dr. Tulia Na Mbeya
 
Wewe kichaa ndo kinaanza sasa na bado nilikwambia,

Mwenye akili hawezi andika ujinga wa namna hii , Hivi Mbunge, diwani n.k hujipigia kura ? Pumbavu sana ,sio mda ccm itaondoka madarakani , ila machawa kama nyie ni lazima kutafuta nchi ya kuishi, watz wanaumia kisa machawa wachache kama nyie ,pumbavu sana
 
Andiko lote kumsifia Betina.

Inaonekana huijui Mbeya na hujui siasa za huko ...

Uliza kama Bila nguvu za Jiwe Kama Betina angeweza kushinda..

Uliza chochote cha maana alicho kifanya Pale Mbeya..

Uliza kwa nn anaomba majimbo Yagawanywe.

Uliza waliopo Mbeya ... wanamuonaje huyo.
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wala nguvu wala stamina wala ushawishi wa kuweza kushindana na Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu spika wa Bunge na Rais wa umoja wa mabunge Duniani ,Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini. Mambo aliyoyafanya Mheshimiwa ni makubwa sana ,hayahesabiki na wala hayapimiki katika mzani kutokana uwingi wake.

Kila utakapokwenda katika jimbo la Mbeya mjini lazima ukutane na mikono na alama za Dkt Tulia iwe ni kwenye Elimu,afya, miundombinu n.k. utamkuta dkt Tulia kaweka mikono yake.
Ni kwa ushawishi wa Dkt Tulia ambapo serikali ya Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu Mama Samia Suluhu Hasssan ilikubali kujenga barabara za njia nne kutoka igawa mkoani Mbeya mpaka Tunduma mkoani Songwe zenye urefu wa KM 237.9. kukamilika kwa miradi huu ni alama itakayochorwa kwa wino wa dhahabu katika mioyo na vifua vya wana Mbeya,kwa kuwa itapunguza ajari za barabarani hasa eneo la mlima iwambi kutokea mbalizi.

Itapunguza foleni hasa nyakati za jioni hususani maeneo kuanzia eneo la mafiati mpaka mpaka kule sai .lakini itakuwa furaha sana kwa maeneo yamwanjerwa, kabwe,soweto,mama John,sai n.k.ambayo Ndio huwa na foleni kubwa sana.

Ukienda katika Elimu nako amefanya mapinduzi makubwa sana.amewezesha ujenzi wa vyumba vya madarasa,mabweni kama vile shule ya Samora,ugawaji wa vitabu kwa shule zote za jijini Mbeya kama alivyo fanya hapa majuzi juzi tu.

Ukienda katika afya nako ni kazi juu ya kazi.huko unakuta wanambeya wakitabasamu tu kwa furaha baada ya kuwa wananchi Elfu sita wamepewa mtaji wa afya bure kabisa kwa kupewa Bima za Afya.ambapo hata mwaka jana napo pia alitoa bima za afya elfu tatu.

Mambo aliyoyafanya Dkt Tulia ni mengi sana ambayo huwezi kuyamaliza kuorodhesha hapa jukwaani.ndio maana leo Mbeya inaheshimika na kufikika na viongozi wakuu wote wa serikali kitaifa. Ndio maana hata walio nje ya mkoa wa Mbeya wanajuwa Dkt Tulia ni mbunge wa mkoa mzima wa mbeyaa maana wanaona namna anavyosaidia mkoa mzima wa Mbeya.

Mwisho japo siyo kwa ulazima ni kuwa naufahamu sana mkoa wa mbeya.nimesoma hapo Elimu yangu,nimeishi hapo. Unajuwa nipo wapi kwa sasa? Ok sihitaji kukwambia na siwezi kukwambia.

Huyo sugu amekaa miaka kumi akaishia kuleta usela wakijinga na uhuni uhuni tu bungeni.jimbo la Mbeya haliwezi kamwe na katu kuongozwa tena na mtu kama Sugu.kwa sasa jimbo limekabidhiwa mikononi mwa dkt Tulia na kumpatia hati miliki.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Naomba nitumie jukwaa hili kwa siku ya leo kuwapa ukweli CHADEMA japo ni ukweli mchungu unaouma lakini ndio ukweli wenyewe na hauwezi kubadilika wala kubadilishwa. Napenda kuwaambia ya kuwa kuna majimbo hapa Nchini ambayo ningependa kuwaambia CHADEMA ya kuwa wasipoteze muda wala pesa wala nguvu zao wala kujichelewesha kufanya kampeni.

Na hivyo ni bora muda huo wakapeleka kwenye maeneo mengine ambako wataona wanaweza kuambulia chochote. Ni bora hata kuwekeza nguvu kwa majimbo machache na rasilimali zote yaani rasilimali fedha na watu kuweza kupambana kujaribu kupata wabunge kiasi kuliko kuweka na kusimamisha wagombea kila jimbo na mwisho wa siku kukosa kwote kwote.

Leo nitataja Machache na kwa uchache halafu siku nyingine nitawatajia mengine. Sitaki kuwachosa kwa andiko refu bali nataka nitaje machache kwanza halafu mpate muda wa kujitafakari. Hao wachache kwa leo ni kama ifuatavyo na kuwa kama watachukua Fomu na chama kuwasimamisha kupeperusha bendera, basi CHADEMA mkubali kuachana na majimbo hayo.

Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu. Huyu dada yangu napenda kuwaambieni na kuwathibitishia ya kuwa yeye atagombea, hilo nina uhakika nalo na sababu zinajulikana kabisa na zipo wazi kabisa.

Kwa sababu wana Mbeya hawawezi mkubalia asigombee maana wanamtegemea sana na wana mhitaji sana kuliko yeye anavyowahitaji wana mbeya, lakini pia ni Rais wa IPU ambapo nafasi hiyo inamtaka aendelee kuwa Mbunge.

Pili umri wake bado ni mdogo na unamruhusu kuendelea na mchaka mchaka wa kuwatumikia na kuwahudumia wana Mbeya katika nafasi ya ubunge. Mengi nitawachambulia Zaidi wakati mwingine kumhusu yeye hasa katika eneo la uchapa kazi wake na namna alivyogusa na kukonga mioyo ya wana Mbeya,ambao sasa wana tabasamu wakati wote.

- Mheshimiwa Kassimu Majaliwa Majaliwa.

- Mheshimiwa Dotto Biteko.

- Mheshimiwa Jenista Mhagama.

- Mheshimiwa Ummy Mwalimu.

- Mheshimiwa Innocent Bashungwa

- Mheshimiwa Dkt Mwigulu Nchemba.

- Mheshimiwa Hussein Bashe.

- Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete.

- Mheshimiwa January Makamba.

- Mheshimiwa Dkt Joseph Kasheku Msukuma.

Leo naishia hapa kwanza maana nimesema leo sitaki kuwachosha kwa andiko refu, hao waheshimiwa na majimbo yao ningewaomba na kuwaambia ukweli CHADEMA msipoteze muda wenu wala pesa zenu kuweka wagombea maana hamtaambulia kitu chochote kile.

Mtapigwa tu ikiwa hao waheshimiwa wataamua kugombea maana suala la kugombea lipo ndani ya moyo wa mhusika.

Kazi iendelee, mama ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
View attachment 2940805View attachment 2940810
Naunga mkono hoja
 
Wewe kichaa ndo kinaanza sasa na bado nilikwambia,

Mwenye akili hawezi andika ujinga wa namna hii , Hivi Mbunge, diwani n.k hujipigia kura ? Pumbavu sana ,sio mda ccm itaondoka madarakani , ila machawa kama nyie ni lazima kutafuta nchi ya kuishi, watz wanaumia kisa machawa wachache kama nyie ,pumbavu sana
Wewe kichaa ndo kinaanza sasa na bado nilikwambia,

Mwenye akili hawezi andika ujinga wa namna hii , Hivi Mbunge, diwani n.k hujipigia kura ? Pumbavu sana ,sio mda ccm itaondoka madarakani , ila machawa kama nyie ni lazima kutafuta nchi ya kuishi, watz wanaumia kisa machawa wachache kama nyie ,pumbavu sana
Kama unahasira sana basi pasukaaa tu au kunywa Sumu tu ndugu yangu maana huo ndio ukweli wenyewe japo ni mchungu kweli kwelikweli
 
Back
Top Bottom