Kikongwe kabaki kumumunya maneno tu kwisha habari yake ona anavyopayuka tu kwa kukosa hoja FF acha ubishi kama ngozi ya masaburi hata upake cream vipi haiwi nyeupe.Naona aliyeshikwa pabaya ni muuliza swali / maswali, maana mpaka sasa anashindwa kuweka sawa ili ajibiwe ikiwa ni maswali au swali, unaweza ukamsadia, maana ndio kafikia upeo wake.