Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

Kama FF aeshindwa kujibu Swali Rahisi kama hili basi Ningewaomba Vijana wa Nape JF wamsaidie Mwenzao maana Kikongwe kimejikuta katika wakati Mgumu sana Wa Kusimimamia Kile Mabosi zake wanahubiri Majukwaani kwamba ROSTAM ni GAMBA Hatari sana kwa Mustakabali wa CCM
 
Halafu kwa nini hii imewekwa Chit-Chat? Mods please naomba ufafanuzi This is serious and not Chat
 
Najua FF anaogopa Kujibu Swali langu kwani linaweza kupelekea yeye Kukosa Mgao wa Vocha

Swali au maswali, liweke sawa basi, au? mbona ulijificha au bosi alikuwa karibu ukashindwa kutumia kompyuta kwa mambo yako binafsi?
 
Tofauti yangu na wewe ni Moja tu

Wewe unaingiza Kipato kulingana na Idadi ya Posts ulizobandika JF, mimi kidume ni Lazima nikabebe Zege ili Mkono uingie Kinywani.

Mabwana zako waliokutuma wanalalamika unawasaliti nimeona ni vyema ukaweka Msimamo wako

JE ROSTAM NI GAMBA HATARI KWA MUSTABALI WA CCM?
 
Kwanza, nakupongeza kwa kujitahidi kuliweka sawa swali lako. Naona darsa limekuingia.

Pili, nakupa pole sana kuendelea kubeba zege karne hii wakati wenzako wanatumia "concrete pumps", hiyo pekee inaonesha ni vipi bado uko nyuma ki mawazo na kimaendeleo.

Tatu, Kuhusu hiyo sentensi ya "mabwana zako" nakuomba rejea post #97 itakusaidia kutomtukanisha mamayo.

Nne, naona ulipokuwa unahangaika kubeba zege Bigirita alikusaidia kwa kujaribu kuliweka sawa swali lako na nikalijibu kwenye post #94. Unaweza ukasoma majibu na kama hujaridhika, mimi nipo hapa. Tuendelee.
 
Nimepitia Kurasa zote sijaona Jibu la Swali Nililouliza wala Jibu la Swali alilouliza Bigirita.

Very Simple Question

Rostam ni GAMBA?

Najua Huana Ujasiri wa

1: Kusema HAPANA Maana utawaudhi Wanaomwita Gamba
2: Kusema NDIYO Maana utamuudhi Rostma

Haya ndiyo Matatizo ya Kuvuta Kotekote Matokeo yake unakosa UJASIRI wa KUTAMKA HADHARANi kile UNACHOKIAMINI
 
Nilichogundua humu JF mtu ukitaka jina na umaarufu muanzishie thread Superstar wa JF FaizaFoxy...
 
Nimepitia Kurasa zote sijaona Jibu la Swali Nililouliza wala Jibu la Swali alilouliza Bigirita.

Very Simple Question

Rostam ni GAMBA?

Najua Huana Ujasiri wa

1: Kusema HAPANA Maana utawaudhi Wanaomwita Gamba
2: Kusema NDIYO Maana utamuudhi Rostma

Haya ndiyo Matatizo ya Kuvuta Kotekote Matokeo yake unakosa UJASIRI wa KUTAMKA HADHARANi kile UNACHOKIAMINI

Nadhan kwao ni shujaa,c alikuwa katika uchaguzi wa igunga
 
Inaonesha hujasoma post #94, umekuta nini hapo?
 
Una maanisha Rostam au? kama jibu ni ndio, basi hujakosea, ni shujaa sana maana "kang'atuka" halafu kaenda Igunga kahakikisha mgombea wake anachaguliwa. Kama si ushujaa huo ni nini? Jibu wewe!
 
Inaonesha hujasoma post #94, umekuta nini hapo?

Rostam anasema kwamba ameng'atuka BAADA ya NAPE na CHILIGATI ambao ni WAKRISTO Kumwita yeye ROSTAM (Ambaye ni Mwislam) GAMBA KUU HATARI KWA MUSTAKABALI WA CCM

NINI MSIMAMO WAKO?
 
mpaka wewe gamba gumu unakana kama wewe sio sisiemu!!!!!!!!!!!!!!vipi NEPI hajakupa allowance yako ninin????????????

Mkuu Usiseme Kwa Nguvu Mpaka Mwisho wa Thread hii Nape atagundua kumbe anatoa Vocha Bure tu ha ha haa yaani ANALIWA
 
Rostam anasema kwamba ameng'atuka BAADA ya NAPE na CHILIGATI ambao ni WAKRISTO Kumwita yeye ROSTAM (Ambaye ni Mwislam) GAMBA KUU HATARI KWA MUSTAKABALI WA CCM

NINI MSIMAMO WAKO?

Naomba tusiandikie mate na wino upo, hapo kwenye nyekundu mwanzo wa post yako unasema asemayo Rostam kwa hiyo ni wajibu wako kunipa reference. Mimi nimeweka maneno yote aliyosema Rostam wakati aking'atuka katika post #94, hayo unayoyasema wewe naomba nipe reference, kama hauna basi hayo ni maneno yako unataka kuyatia kinywani mwa Rostam na huo si mjadala mzuri, as a great thinker unatakiwa uwe makini zaidi ya hivyo hata magwanda wenzako watakucheka. Lete ushahidi kwa uyasemayo la sivyo ntakuona kuwa zege limekuchosha mwili na mawazo. Unanshangaza!
 
Utajuuta Kunifahamu, Naona unatafuta Mahala pa Kutokea leo HUTOKI HAPA
 
Hilo ndio tatizo la CCM. Hakuna mwenye mawazo binafsi. Kila mmoja anasikilizia tu - akiona huku wako wengi anakamatia huko huko. Baya zaidi hulka hiyo wanaiga kwa kiongozi wao mkuu - hana wazo lake binafsi kuhusu chochote kile. Ndio maana akiitwa kwenye mjadala hawezi kwenda kwa sababu hana msimamo binafsi kuhusu jambo lolote. Sishangai kuona FF hawezi kuwa na msimamo binafsi kuhusu ama Rostom ni gamba au la maana hata Mh Mwenyekiti hana msimamo. Bado wanajiita viongozi, kisha watauliza 'kwa nini Tanzania ni maskini?'.
 
Utajuuta Kunifahamu, Naona unatafuta Mahala pa Kutokea leo HUTOKI HAPA

Mimi au wewe unaebandika maneno yasiyojulikana umetoa wapi? wenzako wanakucheka, you have taken it all, hook, line and sinker. Haichomoki hiyo, leta ushahidi wa ulioyaandika. Na udini juu, Tafadhali usione haya. Unanshangaza kwa kujishauwa!
 
Back
Top Bottom