Dear FaizaFoxy: Ukijibu hili nahamia CCM

Umeshindwa kujibu unajizungusha tu!!

Tushajua maoni yako kuhusu misimamo ya CCM kuhusu Rostam.

Thread closed.

Kwanza unaji "contradict" hapo mara umejuwa mara sijui nini? nakuuliza post #94 page namba 5 hukuipenda? Unanchekesha!
 
Hakika Amejivua Nguo na Kubaki kama alivyozaliwa sasa hata wale waliomtuma hapa Jamvini watajua Msimamo wake

Mkuu Umemaliza Kila kitu yaani

UMECONCLUDE VYEMA SANA

Unapatafuta pakuchomokea hupapati, vipi leo bosi hayupo karibu? au zege mlimaliza kumwaga jana?

Umesoma post #94? vipi hukuipenda au imekukaa kooni? Huyo ndio Rostam Aziz, "The King Maker" na kadhihirisha tena Igunga, baada ya majisifu yenu yote kuwa sasa "kura haziibiki tumedhibiti", mlipoona hamna cha kuibiwa ni porojo tu, mkaja na kisa cha msimamizi, ikajulikana mlikuja kumchukuwa wenyewe mkatoka nae, na hivi karibuni itajulikana mlimfanya nini. Na hapo ndio mtapoamuwa kuyavuwa au kuyavaa vizuri, ngojeni pilau yenu iko jikoni, kwa sasa tunakoleza viungo.
 
FaizaFoxy Kwisney, na bado nakuandalia Uzi Mwingine
 
FaizaFoxy Kwisney, na bado nakuandalia Uzi Mwingine

Naona unahaha, huna uliwezalo kijana, kwanza kamalize shule, halafu ndio uje ushindane na FF. Huna hata ukucha wa FF, nakusikitikia sana. Mwenyewe umelikoroga na kujiingiza kichwakicha, umeshasoma post #94? au bado unaiogopa?
 
'
Kweli kabisa ni nukuu yangu, tazama hapa toto la kibulushi lilivyo handsome, weka picha yako tufananishe halafu mwenyewe useme, huyu mimi nnakuambia MashaAllah, ni handsome wa sura, umbo, pochi, influence, intelligence, wewe jee? Unanchekesha.
10001016.jpg

Nyaronyo Kicheere katika Waraka wa Wiki ukurasa wa 15(Mwanahalisi)

kichwa cha habari 'Rostam anacheza kama Pele na kuweka mipango kama kanisa katoliki', amekushinda FF
 
Rostam kitu gani bana! Nasubiri EL ajivue gamba ndio nitatoa maoni yangu!
 
'

Nyaronyo Kicheere katika Waraka wa Wiki ukurasa wa 15(Mwanahalisi)

kichwa cha habari 'Rostam anacheza kama Pele na kuweka mipango kama kanisa katoliki', amekushinda FF

Asishinde mchezo, si unajuwa hicho kichwa na ni moto wa kuotea mbali? Unanchekesha!
 
Back
Top Bottom