TUMBIRI
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 1,933
- 1,199
Nipo viwanja vya sombetini hapa arusha.mkutano umedoda hakuna watu,wameamua kuahirisha mkutano.
Mkuu Wild Fauna,
Vipi Hamad Rashid alikuwapo au??
Nipo viwanja vya sombetini hapa arusha.mkutano umedoda hakuna watu,wameamua kuahirisha mkutano.
Ukiwa mbele ya JK lazima utaadvertise meno,nakumbuka Slaa alivyo kuwa anachekelea pale ikulu.sijui ni juisi au kujipendekeza.
labda wakafanye mkutano msikiti wa bondeni tena wavizie ijumaa.wao walidhani sombetini kwa kuwa kuna waislamu wengi wakadhani watakua ni wanazi wa cuf by default!!?arusha ni chadema tu
Vyama vyenu bado vichanga lakini mnapigana vikumbo, hii ndio ile ya masikini anamroga maskini mwenzake.
mbona mmelifunga 'kanisa' letu la NMC?mkuu kwa kuwa nyie mnafanyia kampeni zenu mmakanisani basi unadhani ni vyama vyote?hebu jiulize kwann huko kuna wachungaji wengi
Vilevile jiulize kwanini Zanzibar kuna masheikh wengi?mkuu kwa kuwa nyie mnafanyia kampeni zenu mmakanisani basi unadhani ni vyama vyote?hebu jiulize kwann huko kuna wachungaji wengi
mkuu ni kweli kabisa ,cuf haijawahi kuwa serious na mbaya zaidi inatumika kuzorotesha maendeleo.
View attachment 65861
Mhk, hawa jamaa lazima walikuwa wanabeep tu, walifikiri wangeweza kukusanya watu? Labda waende Zenji, Mtwara au Tanga huko ndo watapata wenzao. Mbaya zaidi leo ni Jumapili, labda wangejaribu Ijumaa!!!!
V4C =Vilaza 4 Coppying.
Wanatumia nyayo za CDM kujinadi,wataumbuka vibaya wakiendelea na uigizaji.
Mkuu "Fmpiganaji" huyu kiongoz kabla ya kuahirisha mkutano alisema siwezi kuondoka hivi hivi itabidi niseme maneno kdogo.
So alikua anatoa kama hints kwamba wanakwenda kujipanga wakirudi wataeleza kinagaubaga,anadai viongoz wa mkoa walishndwa kutoa taarifa iliyonyooka kwa polisi na matokeo yake wakaambiwa wa pospond sababu polisi wana majukumu mengine mengi.
Hata hvyo huyu kiongozi wakati anafunga mkutano alisema arusha mnapenda kuskia people's power ila prof na maalimu seif atakapokuja jumapili ijayo mtawaelewa vizuri.
Hivi Jk anawapa nini hawa viongozi wa vyama vya siasa kila anayekutana naye lazima acheke kwa bashasha.