Aibu nyingine kwa CHADEMA Tunduma, Operesheni yadoda!

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Katika hali ambayo haijatarajiwa na wengi ni kutokana na muitikio hafifu wa wanachama wa CHADEMA katika mkutano uliopangwa kufanyika katika viwanja vya shule ya sekondari Nyerere hapa Tunduma.

Watu wa Tunduma kisiasa husemekana ni watu wenye Joto la mageuzi lakini hali ni tofauti hadi muda huu ambao mkutano ulipangwa kuanza hakuna mwitikio wa Watu.

Mwabukusi anatajwa kama sehemu ya kukwamisha mkutano huu, wana CHADEMA wengi kukosa shauku ya kuhudhuria mkutano huu.

Tazama picha ujioneee hali halisi.
5c83db4d-57d0-49b1-821d-1e6c920b9d5f.jpg

1f857985-8333-43ce-be67-9f38dee4d8bd.jpg

d5807e18-4e9a-4e97-9088-b12f8d25217c.jpg

22da0ede-3296-4687-81a6-35fcf5dc8b00.jpg
 
Katika hali ambayo haijatarajiwa na wengi ni kutokana na muitikio hafifu wa wanachama wa CHADEMA katika mkutano uliopangwa kufanyika katika viwanja vya shule ya sekondari Nyerere hapa Tunduma.

Watu wa Tunduma kisiasa husemekana ni watu wenye Joto la mageuzi lakini hali ni tofauti hadi muda huu ambao mkutano ulipangwa kuanza hakuna mwitikio wa Watu.

Mwabukusi anatajwa kama sehemu ya kukwamisha mkutano huu, wana CHADEMA wengi kukosa shauku ya kuhudhuria mkutano huu.

Tazama picha ujioneee hali halisi.
View attachment 2788178
View attachment 2788179
View attachment 2788180
View attachment 2788181
Mwanamama uliyeolewa kuwa mbea na mwongo ni aibu kwa mumeo
 
Bado unaamini hizi propaganda za kizee zinafanya kazi miaka hii?
 
Katika hali ambayo haijatarajiwa na wengi ni kutokana na muitikio hafifu wa wanachama wa CHADEMA katika mkutano uliopangwa kufanyika katika viwanja vya shule ya sekondari Nyerere hapa Tunduma.

Watu wa Tunduma kisiasa husemekana ni watu wenye Joto la mageuzi lakini hali ni tofauti hadi muda huu ambao mkutano ulipangwa kuanza hakuna mwitikio wa Watu.

Mwabukusi anatajwa kama sehemu ya kukwamisha mkutano huu, wana CHADEMA wengi kukosa shauku ya kuhudhuria mkutano huu.

Tazama picha ujioneee hali halisi.
View attachment 2788178
View attachment 2788179
View attachment 2788180
View attachment 2788181
Mbona huonyeshi upande wa jukwaa ili tujiridhishe na maneno yako.
 
Naona wamesubiri wajinga waje hawakutokea wakawabeba waliokuja nao wakasepa kimya kimya dadeki ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Katika hali ambayo haijatarajiwa na wengi ni kutokana na muitikio hafifu wa wanachama wa CHADEMA katika mkutano uliopangwa kufanyika katika viwanja vya shule ya sekondari Nyerere hapa Tunduma.

Watu wa Tunduma kisiasa husemekana ni watu wenye Joto la mageuzi lakini hali ni tofauti hadi muda huu ambao mkutano ulipangwa kuanza hakuna mwitikio wa Watu.

Mwabukusi anatajwa kama sehemu ya kukwamisha mkutano huu, wana CHADEMA wengi kukosa shauku ya kuhudhuria mkutano huu.

Tazama picha ujioneee hali halisi.
View attachment 2788178
View attachment 2788179
View attachment 2788180
View attachment 2788181
ndo akili za ccm hizi upotoshaji
 
Back
Top Bottom