CUF Arusha ngoma nzito, operation V4M yakwama

Kiongozi alipanda jukwaa anadai wao ndio wameanzisha M4C mwaka 2009 ila cdm wakaiga,anadai watu wa arusha wamewaambia wamechoshwa na fujo, inshort jamaa anaishambulia cdm eti hawana hoja nyingne zaidi ya ufisadi.
 
Huyu mwanamke angesubiri mume wake atoke dodoma kwenye vikao ili aje amsaidie kwenye hiyo kampeni yake ya 'kopi and pesti'...
 
Mkuu mleta mada; ni mkutano wa level gani? Ndio zile V4C zao zimeanza? Ilikuwa uhutubiwe na nani? Ni Prof. a.k.a the Sultan au? Hawa jamaa wa ajabu sana; hawajui vikielea vimeundwa tena na bongo zinazochemka. Poleni CUF.
 
Enyi wana-KAFU, hii mambo ya kuiga kuna siku mtajikuta mmjiingiza katika kuiga kunywa sumu mkafa bureeeee!!!!!!!!!!

Mnaona sasa hicho ki-bajaji chenu kiitwacho sijui V4C sasa injini imegoma kupasha wakati ndio mko tu mwanzo mwanzo katika mbio hizi.

Hebu nendeni mkajipumzishe salama kujilia vinono vya ndoa yenu na CCM huko serikalini; mkakati wenu wa kuja kugawa kura na kufanya mabadiliko yashindikane mbona kote bara tulishaukataa?????
 
Kiongozi alipanda jukwaa anadai wao ndio wameanzisha M4C mwaka 2009 ila cdm wakaiga,anadai watu wa arusha wamewaambia wamechoshwa na fujo, inshort jamaa anaishambulia cdm eti hawana hoja nyingne zaidi ya ufisadi.

Sasa mkuu hueleweki mwanzo ulisema wameahirisha sasa unasema wanahutubia.Tushike kipi?
 
Nipo viwanja vya sombetini hapa arusha.mkutano umedoda hakuna watu,wameamua kuahirisha mkutano.

nilipo sikia cuf wanakuja arusha nilikuwa najiuliza maswali bila majibu ,maana arusha na cuf ,ni kama kichaa na kuogamaji ,anyway nilikuwa napita tuu
 
Mkuu "Fmpiganaji" huyu kiongoz kabla ya kuahirisha mkutano alisema siwezi kuondoka hivi hivi itabidi niseme maneno kdogo.
So alikua anatoa kama hints kwamba wanakwenda kujipanga wakirudi wataeleza kinagaubaga,anadai viongoz wa mkoa walishndwa kutoa taarifa iliyonyooka kwa polisi na matokeo yake wakaambiwa wa pospond sababu polisi wana majukumu mengine mengi.
Hata hvyo huyu kiongozi wakati anafunga mkutano alisema arusha mnapenda kuskia people's power ila prof na maalimu seif atakapokuja jumapili ijayo mtawaelewa vizuri.
 
Nakushukuru mkuu.
 
Tatizo wafuasi wa CUF wanaamini Prof Lipumba anaitumikia CUF! Sijui ni lini watakubali Prof ni 'cleark' wa CCM?

mkuu ni kweli kabisa ,cuf haijawahi kuwa serious na mbaya zaidi inatumika kuzorotesha maendeleo.

kikwete+lipumba+seif+3.JPG
 
Vyama vyenu bado vichanga lakini mnapigana vikumbo, hii ndio ile ya masikini anamroga maskini mwenzake.
 
Back
Top Bottom