CUF Arusha ngoma nzito, operation V4M yakwama

Hivi kafu kumbe ipo?

unajua ukimchinja kuku kisha ukamwachia ataendelea kurukaruka lakini kwa mtu mwenye akili timamu akimuona anajua kabisa hapa biasha imesha kamilika nimaji ya moto tu ndiyo yana subiriwa..
 
Wakati kiongozi yule anapospond mkutano "alisema kuna cheap politics eti CUF tumefunga ndoa na CCM ila wakae wakijua CUF ndio mume na CCM ni wake zetu na sisi ndio tunawalala".
Mie sikushangaa hayo maneno ya kwenye kanga sababu jamaa ana tonation yakizenji kwa hyo kule ndio industry ya mipasho
 
Hapa ndipo ninaposhindwa kuwaelewa!!Badala ya kunadi sera zao,wao wanashambulia CDM!
Arusha ishachukuliwa na wenyewe wao wakajipange upya!!!

CDM ndiyo chama pinzani nchini na wao ni sehemu ya chama tawala kwa hiyo kuishambulia cdm ni kuharalisha ndoa yao na ccm na kuweka wazi kwanini chadema ilikataa kushilikina na kweye kambi ya upinzani
 
Eti, tunaanzia arusha, wanaarusha kaeni mkao wa kula. Jamani bi ccm (cuf), una akili kweli?
 
huyo sultan lipumba ameshindwa kuipa cuf sura ya kitaifa..cuf inanukia marashi ya pemba ambayo hayana test huku bara..ameshindwa kutumia uprofesa wake kukipa mashiko chama chake...kama chama kimemshinda itakuaje nchi...halafu hivi huyu jamaa ana mke?
 
Vitu vilivyoenda shule hivi hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...moto-matawi-mawili-yafunguliwa-kwa-mpigo.html

Yametokea hukoooooooooo Masasi, Kusini kabisa mwa nchi na mkutano umeongozwa na makamanda very very very junior walioona mwanga miongoni mwa watu wale; hakika watu wale waliokaa katika giza, nuru kuu imewazukia nyakati hizi.

Hakika jitihada za makamanda wakuu zinazaa matunda kupitiliza. Vijana mmewapika, wanachapa kazi; naomba kuwatambua kama ifuatavyo nikianza na jemadari mkuu:

Mh. Freeman Aikaeli Mbowe (Mwenyekiti/Mb); Mh. Said Arfi (Makamu Mwenyekiti - Bara, Mb); Mh. Hamad Yusuf (Makamu Mwenyekiti - Zanzibar);

Mh. Dr. W. P. Slaa (Katibu Mkuu na Jemadari Asiyechoka); Mh. Zitto Zubeir Kabwe (Naibu Katibu Mkuu na mpiganaji mahiri, Mb);

Mh. J.J. Mnyika (Habari na Mawasiliano, Mb); Mh Tundu Antipas Lissu (Mnadhimu Mkuu, Mwanasheria wa Chama, Mb);

Mh. Prof. Abdallah Safari (Kamanda na Mwanasheria wa Chama); Mh. Mabere Nyaucho Marando (Kamanda na Mwanasheria wa Chama);

Mh. Prof. Kulikoyela Kahigi(Mb); Mh. Halima Mdee(Mb.), Mh. Joseph Mbilinyi (Mb.);

Mh. Prof. Mwesiga Baregu (Kamanda na Mshauri wa Chama);

niliowataja na nisiowataja; ndugu wanachama na wapenzi wa Chadema, ndugu wananchi, mabibi na mabwana - ITIFAKI IMEZINGATIWA. Ha ha ha ha ha! Hadi raha.

Hebu cheki squad nzima hapa: Chadema Blog

Halafu anatokea juha mmoja anadai eti chama hakina watu wa kutosha kwa ajili ya kuwa viongozi. CUF na chuki zenu mpooooooooooo?
 
Nipo viwanja vya Sombetini hapa Arusha mkutano umedoda hakuna watu wameamua kuahirisha mkutano.

nahic walitumwa wakatest mziki wa arusha wakidhani lbd arusha mradi ujiite mpinzani utawazoa..
Jibu wamelipata, arusha ni ngome ya cdm
 
Kweli CUF kwisha habari yake mimi naishi Mbauda karibu kabisa na sombetini sijasikia hata mtaani habari za hawa washkaji WATU wa Arusha sasa ni watu waelewa sana wanajua kutofautisha nyeupe na nyeusi. Kwa hiyo cuf wamesoma namba vibaya kwa A. TOWN
 
mkuu kwa kuwa nyie mnafanyia kampeni zenu mmakanisani basi unadhani ni vyama vyote?hebu jiulize kwann huko kuna wachungaji wengi

...............kwani kuna kosa lolote kwa wachungaji kuwemo katika chama chochote?. Unaweza kujiuliza na kupata jibu kwanini CUF kuna masheikh ubwabwa wengi?
 
Wakati kiongozi yule anapospond mkutano "alisema kuna cheap politics eti CUF tumefunga ndoa na CCM ila wakae wakijua CUF ndio mume na CCM ni wake zetu na sisi ndio tunawalala".Mie sikushangaa hayo maneno ya kwenye kanga sababu jamaa ana tonation yakizenji kwa hyo kule ndio industry ya mipasho
Maneno magumu hayo, vipi wakina mama walihudhuria mkutano huo? pia mzungumzaji shule inawezekana ikawa ndogo.. cuf ina safari ndefu sana, time will tell them
 
Wakati kiongozi yule anapospond mkutano "alisema kuna cheap politics eti CUF tumefunga ndoa na CCM ila wakae wakijua CUF ndio mume na CCM ni wake zetu na sisi ndio tunawalala".
Mie sikushangaa hayo maneno ya kwenye kanga sababu jamaa ana tonation yakizenji kwa hyo kule ndio industry ya mipasho
mkuu mbona aliongea matusi?, so anadhani wao (kafu) kumlala sisiem ndo ufahari? so yy anataka waambiwe wamemwoa ssm?
akili nyingine zataka moyo kukaa nazo
 
Mkuu mleta mada; ni mkutano wa level gani? Ndio zile V4C zao zimeanza? Ilikuwa uhutubiwe na nani? Ni Prof. a.k.a the Sultan au? Hawa jamaa wa ajabu sana; hawajui vikielea vimeundwa tena na bongo zinazochemka. Poleni CUF.

ndio imeanza.Nilimpigia mtu simu Arusha mjini nikasikia gari ya matangazo ktk background ikitangaza,kuwa wangekuwa katika viwanja vya mbauda.Huko kuna watu wengi sana waitwao wa njia ya vumbi.Warangi wengi wakiwa waislam.NIlipata muda wa kumwambia jamaa ahold on nisikie zaidi, walikuwa wakijifagilia sijui ni wa haki, sijui yale maneno ya uongo watu wa arusha waliambiwa watayaweka wazi na mengine ya kijingajinga..hawa jamaa kama wapo ktk rehearsal.
 
mkuu ni kweli kabisa ,cuf haijawahi kuwa serious na mbaya zaidi inatumika kuzorotesha maendeleo.

View attachment 65861





















Viongozi wengi wakikutana huwa wanato atabasabu la kuibia umma ili wasijue nani hakuridhishwa au nani kaibiwa.Ila kwa watu makini wataona kuwa hapa kikwete ndiye winner na ile ya Akina Slaa ni good gesture tuu,ila misimamo yao hawapo tayari compromise.

Hapa maalimu ni sehemu ya bodyguards, prof anashukuru kwa mlo.
 
Back
Top Bottom